fedha inahitajika unaporipot chuoni

fedha inahitajika unaporipot chuoni

hicho kiasi endapo chuo kitafungua majina ya mikopo hayaja toka au?

yah! Lakini kama nilivyosema hyo itategemea na chuo husika. Mf. TEKU , wanafunzi wakifika tu wanaambiwa ili waweze kujisajili walipe kiasi cha 535,000/= kwanza bila kujalisha mtu analipiwa kiasi gani na bodi. Ila kama mtu hana wanasubiri hadi HESLB watume pesa zao chuoni.
 
chuo ni Udom kozi ya BA-ECONOMICS&SOCIOLOGY

Inategemea Asilimia Ngapi Ya Mkopo Umepata Pia Kwa Cku Za Mwanzo Jitahidi Uwe Na Kiasi Cha Kukusaidia Km Mwezi Hivi Kwa7bu UDOM Kuna Uchelewaji Wa Boom,Karibu sn Udom CHSS
 
samahan wakuu naomba niulize ifm kuripot lin?,ni kias gan cha gharama kinachohitajka? ahsanteni sana
 
samahan wakuu naomba niulize ifm kuripot lin?,ni kias gan cha gharama kinachohitajka kwa ajili ya usajil kamili? ahsanteni sana
 
Nisaidieni me wa ifm kiasi gan kinahitajika

Kama huna loan hapo 1.05M inakuhusu(ada +direct cost)
Ila kama uta secure loan inategemea umepewa kias gan 40% ya fee+cost ndo watahitaji
 
samahan wakuu naomba niulize ifm kuripot lin?,ni kias gan cha gharama kinachohitajka kwa ajili ya usajil kamili? ahsanteni sana

1050000 kama huna loan.tarehe am nat sure bt kama tarehe 7 hv october...
 
Back
Top Bottom