Fedha/ uchumi Ni uhuru

Fedha/ uchumi Ni uhuru

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
Katika masuala ya Uhuru , fedha au uchumi ndio kitakufanya kuwa Huru. Nje na hapo utakuwa mtumwa iwe kwenye ndoa au popote Kama hauna kitu haiwezi kuwa na maamuzi katika maisha yako na hii Ni kwa wote
 
Uhuru wa kweli wa mwanadamu nikuwa na uhuru wa kiuchumi
Usipokuwa huru kiuchumi huwezi kuwa huru
Hata Taifa ambalo halipo huruvkiuchumi halina uhuru ila Lina uhuru wa bendera
 
Upo sahihi Mkuu.

PESA INA NGUVU KWENYE KILAKITU.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom