Fedha ya uingereza inaendelea kuanguka dhidi ya dola ya Marekani

Fedha ya uingereza inaendelea kuanguka dhidi ya dola ya Marekani

Sio ianguke tu ikibidi hata ifeee kabisa
Turudi kwenye kubadilishana vitu kwa vitu
Mamifumo ya fedha ni ya wizi wizi tu
Unampa mtu madini, gasi, Chuma, kahawa, pamba, korosho halafu yeye anakupa makaratasi
Hii haijatulia
 
Hizi nyakati si za kawaida kwa wakongwe wanazidi kujionea maajabu.
Wako mbali sana hawa viumbe , sisi wengine tunafiliria maji , afya , kulala njaa , utapia Milo , hatuna hata choo cha shimo chenyewe kinatushinda . Unakuja kuweweseka hapa . Wako mbali sana mkuu.
 
Back
Top Bottom