Waziri Nape anasema bungeni kwamba zoezi limekamilika kwa 104% meanwhile mahali nilipo kata nzima hakuna nyumba yenye kibao wala barabara iliona kibao.
Mi swali naulza fedha za hizi alama wanatoa wananchi au Kuna mfuko ktk halmashauri? Maana nimeona kata flani wananchi wanalalamika wanaambiwa kibao kimoja ni zaidi ya elfu 80, je kata zilizoweka alitoa Nani? Wanaojua utaratibu watoe majibu