Fedha za Elimu Bure tangu Mei 2022 zimepotelewa wapi?

Fedha za Elimu Bure tangu Mei 2022 zimepotelewa wapi?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Katika hali isiyo ya kawaida serikali ya Tanzania imeshindwa kugharamia elimu bure kama ccm ilivyohaidi wananchi.

Inasikitisha fedha za kuendesha shule za sekondari na msingi nchi nzims tangu mwezi May 2022 hadi sasa hazijapokelewa fedha za uendeshaji na mitihani ya ndani imefutwa kwa kukosrksna kwa fedha.

Sambamba na hilo hata posho za kuwalipa walimu wakuu na maafisaelimu kata ambazo zinatokana na elimu bure haxijawahi kutolewa tangu May 2022.

Sasa tunajiuliza serikali inasema kidato cha tano na sita elimu ni bure hii ni kweli? Ukizongatia kuwa fedha hazitolewi kwa wakati?

Tumefuatilia sakata hili tunaambiwa tusubiri shirika la IMF linatoa mkopo tutalipwa ni kweli?
 
Elimu bure was an illusion, toka wakati wa awamu ya tano note that!
 
Mtoa mada una umri gani?
Ndo takataka gani hizi umetuandikia[emoji116][emoji3525]

2022-06-22-08-50-17.jpg
 
Back
Top Bottom