Fedha za field zimekuwa majanga !

Excel kuna siku nilifika udsm nkashangaa ya chakula unapata kwa 800/=(wao wanaita RB) kiroho safi!! sasa huyu mkuu jimmie77 sielewi anamaanisha nini anaposema lunch 2000 na break fast 1500 (wakati hata kwa 600/= unapata chapati 2 na chai), vocha ya buku ya nini wakati siku hizi kuna university promotion ya voda na tigo mi dakika miiingi na MB za kutosha kwa jero(500/=) tu!!

Mimi ni mwanafunzi kama wewe na nipo chuoni kama wewe na zaidi ya yote hili janga la pesa za field limenikumba kama wewe ila kwa haya matumizi yako inatia shaka!! au na wewe ni wale wabana pua na wapenda makuu?

Naungana mkono na excel kwa hii kauli na huu ni kweli (hapa siwajumuishi wanaolipia wadogo zao ada na mengineyo na wanaolea familia)
Mkuu, wanafunzi wa vyuo tuna matumizi ya pesa mpaka sehem zisizohusika.. CLUB ni sisi, BEACH kila weekend ni sisi, BASH za hapa na pale ni sisi... kwa hiyo hiyo 7500! lazima tutalia njaa tu!
Umesahau kuna wahongaji pia, wa kununua blaki beri, smati foni, subwoofer and the alike...
 
TATIZO SIO MATUMIZI MABAYA ILA UHALISIA NI HUU

(1) kuna wanachuo wanatumia hii pesa kwa kumalizia kiasi cha ada kilichobaki.

(2)kuna vyuo vina kozi zaidi 10 kwa kiasi cha laki 200,000 hakitoshi kwa ajili ya kununua vitabu +asignment na nk(pen, exercise books).

(3)pesa hii ndio nauli+ kula+ kuvaa+ kulipia pango kwa hapa hii pesa haitoshi hasa wanachuo wasio na msaada wowote ila loans board au serikali tuu

(4) kupewa pesa hii kwa wakati ni haki ya mwanachuo kwani nae atatakiwa kulipa kwa wakati kama mkataba ulivyoanisha.

NOTE

Lisilokuhusu+usilotaka kulitetea acha watu wanaumia inapelekea mtu badala ya kufikilia kusoma+innovation but always they think how to face challenges "struggle today live better tomorrow"

God bless our country +our leaders
 
Weee unekaa chini nankubisha juu ya malipo hayo ufikirie sana, kwanza fedha iz tunakopeshwa sio kupewa kwaiyo ni zetu na baadae lazima ziludishwe so pliz guyz u mist understand that...

Juu ya suala la matumiz ni la mtu binafsi na hustaili kuingilia suala ilo.....
 
Cyo wote unao waona club ukajua wanategemea boom, wengine boom kwao ziada?

Na ndio hao wanao fanya ctarehe ,cyo wote pia acha kutetea ujinga, uzembe wa watu fulani, muhimu wanafunzi wapewe pesa zao.
 

symester hii nilikuwa natumia buku mbili kwa siku na nilikaa bibo h
 

Tatizo mnataka akina al shebibi wawakumbushe kufanya kunji. Rudini mjini mchukue pesa zenu
 
Haki kwa hakika inapiganiwa.najua serkali, haikosi pesa za kuwapa wanafunzu ila wanachofanya ni dharau tuu.

Ila kutokana na kwamba elimu aijawakomboa ndo mana watu wanaendelea na fild hata kama pesa ambazo ni haki zao kimsing hawajapewa.

Elimu yetu ya kitanzania aitukomboi kimawazo, inajaza hofu na uoga ndan yake, ndio maana week ya 4 sasa na bado hakuna lolote.
 
Mjue kuna kukosa pia, mbona baba yako akiishiwa hulalamiki sana, sasa na serikali yenu ujue haina pesa ndio maana hawajakupeni hadi saivi.

Then tutake tusitake wanafunzi wengi bajeti hatuna siku hizi, mbona kuna wazazi ni walimu wa shule za vidudu mshahara laki na nusu na ana familia but anajibana na hawalali njaa, wewe 7500 kwa siku tena upo alone na nyumbani unapiga virungu kibao na still unalia njaa.

Wakipata hela hao pale bulls park savei wanajaa kama kumbi kumbi, mimi sina bum but hicho ninachopewa home elf50 kwa wiki naishi vizuri tu na siishiwi mbona.
 
tafsiri ya neno dogo kati ya uwezo wa mtu binafsi na dola(serikali) nayo ni shida, serikali ikishindwa kutoa huduma kwa jamii husika itakuwa imeshindwa kuongoza labda kuna vita+machafuko otherwise poor management especially "on" collecting tax ndio maana kuna budget so don't correlate domicile budget and gvt "management"

RE-THINK NDIPO UKO-COMMENT SIO KUTOA MAJIBU RAHISI KWA MAMBO YA MSINGI yanayogusa affairs za watu
 
tafsiri ya neno dogo kati ya uwezo wa mtu binafsi na dola(serikali) nayo ni shida,,serikali ikishindwa kutoa huduma kwa jamii husika itakuwa imeshindwa kuongoza labda kuna vita+machafuko otherwise poor management especially "on" collecting tax ndio maana kuna budget so don't correlate domicile budget and gvt "management"RE-THINK NDIPO UKO-COMMENT SIO KUTOA MAJIBU RAHISI KWA MAMBO YA MSINGI yanayogusa affairs za watu
 

hapo ndipo mnapotetea ujinga,

pesa mnatumia vibaya, mkiulizwa mnatoa macho kama mmebanwa na mlango!

kijana kuna pesa inatakiwa iwepo kwa ajili ya emergencies kama hizi!... kuwa mwelewa!

Mimi huu ni mwaka wangu wa tatu chuoni, nina shilingi laki sita ya ziada kutoka kwenye boom, unadhani hapo hata biashara ya kuanzia nikimaliza haitokosekana kwa hii pesa?..

Jifunze basi kutoka kwa wengine...
 
Cyo,wote,unao waona club,ukajua wanategemea,boom,wengine,boom kwao ziada?na ndio hao wanao fanya ctarehe ,cyo wote,pia,acha kutetea,ujinga,uzembe,wa watu fulani,muhimu,wanafunzi wapewe pesa zao,

Mkuu unaandikaje?

huoni kuwa unatuthibitisha kuwa sisi ni division 5?

change this mkuu!
 

Hoja yako ni nzuri sana, tatizo lako uandishi umekuwa mbovu sana.

Hebu jaribu kuandika kwa aya, weka vituo vizuri tuone nini umetuletea.

Mimi bado hoja yangu iko pale pale, % kubwa sana ya wanafunzi bado tunalazimisha surplus wakati tuna deficit.

Najua kuna watu wanajilipia kiasi cha ada kilichobakizwa na LB, najua gharama za vyumba na usafiri ziko juu, lakini bado kidogo kilichobakia hatukitumii katika kilichoelekezwa..

Matumizi mengi sana ya pesa ya boom yanapelekwa ndiko siko!

Imagine wanafunzi wa UDSM ambao wengi wao wanaishi hostel (kwa wanaopata), chakula bei maximum ni 1200, bado wanalia njaa! japokuwa pesa ni halali wapewe, lakini hoja ya msingi ni kwamba, tujifunze ku-save pesa!
 

Excel
Everything is pricey kaka, ni kweli no one would like to live afar high on the hog, but at least tunajutahidi kumove the move as how the situation demands...

UD chakula 1200, maybe you're tying to dine a thing closer to lousy, njoo mabibo you'll have the cheapest dish at 1500...

Lemme show you a short breakdown...
Chai=1000
Lunch=1500
Supper=1500
Nauli=800
Voucher=500

Hujalipa accomodation, hujanunua stationaries, hujavaa, huja.....
At that ease, what are you gonna preserve??
 
Last edited by a moderator:


That's why we all can't be same, everyone has his/her own innate features... we all want the best but unfortunately we cant always hv all what we want, that's what makes the difference kati ya wewe mwenye laki6 kwenye account na mwenye ng'ombe wa2 zizini.

With the same muller, Wapo wengine wanasomesha their siblings, wapo wanaoraise up their pitiable family nk nk...
So wote hatuwezi kua sawaa...
 
Mkuu unaandikaje?

huoni kuwa unatuthibitisha kuwa sisi ni division 5?

change this mkuu!

Excel utajichosha bure kuna wakati haya mambo huwa ni chain baba alikuwa masikini mama masikini mtoto masikini na watoto atakao zaa ni maskini.

Katika nchi ambayo mtu analipwa Tsh 80000 na anafamilia wanakula mwingine analipwa Tsh 225000 na bado hana familia anaona hazitoshi.

Wasomi siku hizi yupo radhi kukaa nyumbani miaka 2 ili akisubili kazi ya 1 m au basic salary ya laki 7. Hivi umewahi jiuliza kwanini wahindi wanaishi kimaskini ili hali they own business of billion.

Suala ya kusoma kwa mkopo tu ilitupaswa kuwa wanyonge tu majority hata wakijidai huo ni mkopo watalipa hivi ni wangapi ambao wameshindwa kulipa madeni kwa bodi na wana kazi.

Hivi ukifa huo mkopo nani atakulipia. Ni haki yetu ila kuna mambo serikali tunaionea bure tu. Take it individually kwamba ni mtu mmekubaliana ndo anakukopesha unaweza kuwa ugly kiasi hicho.

After all wakuwalaumu ni wazazi wetu sababu wao ndo wametuleta duniani kwa mipango yao na si serikali. Wao wanawajibu na si ombi wala hisani ni wajibu wao kumlea mtoto wao kwa kumpa malezi, Afya bora na elimu bora hadi pale wao watakapo ona inafaa mtoto wao kujitegemea mwenyewe.

Serikali haikuwaomba wazazi wetu watuzae
 
Last edited by a moderator:
major mwendwa ....
A point of objection awali ya yote, kuzaliwa katika familia duni doesn't necessarily guarantee the same trench to the biholder, we've lots of icons that hv broken through from rags to riches...

Pia usiseme kua mtu analipwa 80'000 still doesn't starve na mwingine anapata 225'000 bado analia njaa... many factors can be side driver hapa.

Je umeassess vipi inflow na outflow za hawa watu wa2...?
Je umeassess vipi disburse ya hizo pesa kati ya hawa watu wa2...?
Je umeassess vipi background kati ya hawa watu wa2...??

Even at ill conjectures, never blame your parent for what that they didn't deliver, kama ulivyojaribu kumaanisha. Hapo mwisho wa hitimisho ya comment yako UMEBOA kinyama.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…