Achoki
Senior Member
- Mar 27, 2013
- 151
- 60
wanachuo kutwa club, sijui pesa wanatoa wapi
Hizo Hzo Za HESLB
Kwani we unampangia matumizi ,hyo ni hulka ya mtu mkubwa hata makazini wapo watu wa kushinda kwenye maclub. upo!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanachuo kutwa club, sijui pesa wanatoa wapi
Excel kuna siku nilifika udsm nkashangaa ya chakula unapata kwa 800/=(wao wanaita RB) kiroho safi!! sasa huyu mkuu jimmie77 sielewi anamaanisha nini anaposema lunch 2000 na break fast 1500 (wakati hata kwa 600/= unapata chapati 2 na chai), vocha ya buku ya nini wakati siku hizi kuna university promotion ya voda na tigo mi dakika miiingi na MB za kutosha kwa jero(500/=) tu!!Mkuu EXCEl: ukipewa laki nne na nusu kwa miezi miwili na ushee utabakisha kias gan?. Udsm( mabibo hostel), nauli to and fro tsh.800, brk fast 1500, lnch 2000, dinner 2000, maji (mchna na jion) 1200, sabuni, vocha atlst 1000 per 2dyz, pango 750 per day, bado hpo crdb wananakato yao. Kumbka loan bord wanatoa 75000 for meals and accmdtion kwa siku 1 ambyo n sawa na lak 4 na nusu kwa miezi miwili yenye jumla ya siku 60, je n vp kwa miezi miwil yenye cku 61?. Kimsingi pesa kwa ajili ya meals na accomodation haitsh hta kidogo ss iv gharama za maisha zimepnda tofaut na miaka ya nyuma jamani.
Umesahau kuna wahongaji pia, wa kununua blaki beri, smati foni, subwoofer and the alike...Mkuu, wanafunzi wa vyuo tuna matumizi ya pesa mpaka sehem zisizohusika.. CLUB ni sisi, BEACH kila weekend ni sisi, BASH za hapa na pale ni sisi... kwa hiyo hiyo 7500! lazima tutalia njaa tu!
Excel kuna siku nilifika udsm nkashangaa ya chakula unapata kwa 800/=(wao wanaita RB) kiroho safi!! sasa huyu mkuu jimmie77 sielewi anamaanisha nini anaposema lunch 2000 na break fast 1500 (wakati hata kwa 600/= unapata chapati 2 na chai), vocha ya buku ya nini wakati siku hizi kuna university promotion ya voda na tigo mi dakika miiingi na MB za kutosha kwa jero(500/=) tu!! mimi ni mwanafunzi kama wewe na nipo chuoni kama wewe na zaidi ya yote hili janga la pesa za field limenikumba kama wewe ila kwa haya matumizi yako inatia shaka!! au na wewe ni wale wabana pua na wapenda makuu?
naungana mkono na excel kwa hii kauli na huu ni kweli (hapa siwajumuishi wanaolipia wadogo zao ada na mengineyo na wanaolea familia)
Umesahau kuna wahongaji pia, wa kununua blaki beri, smati foni, subwoofer and the alike...
Hii ni wiki ya tatu tokea mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu yaanze, lakini fedha za mafunzo hayo ambayo loan board iliingia mkataba na hao wanafunzi hawajapatiwa! wanafunzi wapo maporini, wengine wapo sehemu ambazo hata ndugu hawana wanateseka kwa njaa! jamani huu siyo ubinadam..
baadhi ya vyuo ambavyo havijapewa hizi fedha ni udsm(conas,coet,cohu,coss),st Augustine, udom na vingine. Jaman hebu serikali iwaonee huruma hawa vijana wanaosoma ili waijenge nchi kwa kuwapatia fedha zao!!
Sua tayari
Weee unekaa chini nankubisha juu ya malipo hayo ufikirie sana, kwanza fedha iz tunakopeshwa sio kupewa kwaiyo ni zetu na baadae lazima ziludishwe so pliz guyz u mist understand that...
Juu ya suala la matumiz ni la mtu binafsi na hustaili kuingilia suala ilo.....
Cyo,wote,unao waona club,ukajua wanategemea,boom,wengine,boom kwao ziada?na ndio hao wanao fanya ctarehe ,cyo wote,pia,acha kutetea,ujinga,uzembe,wa watu fulani,muhimu,wanafunzi wapewe pesa zao,
TATIZO SIO MATUMIZI MABAYA ILA UHALISIA NI HUU,(1) kuna wanachuo wanatumia hii pesa kwa kumalizia kiasi cha ada kilichobaki,(2)kuna vyuo vina kozi zaidi 10 kwa kiasi cha laki 200,000 hakitoshi kwa ajili ya kununua vitabu +asignment na nk(pen,exercise books),(3)pesa hii ndio nauli+kula+kuvaa+kulipia pango kwa hapa hii pesa haitoshi hasa wanachuo wasio na msaada wowote ila loans board au serikali tuu(4) kupewa pesa hii kwa wakati ni haki ya mwanachuo kwani nae atatakiwa kulipa kwa wakati kama mkataba ulivyoanisha,,NOTE lisilokuhusu+usilotaka kulitetea acha watu wanaumia inapelekea mtu badala ya kufikilia kusoma+innovation but always they think how to face challenges "struggle today live better tomorrow"God bless our country +our leaders
Hoja yako ni nzuri sana, tatizo lako uandishi umekuwa mbovu sana.
Hebu jaribu kuandika kwa aya, weka vituo vizuri tuone nini umetuletea.
Mimi bado hoja yangu iko pale pale, % kubwa sana ya wanafunzi bado tunalazimisha surplus wakati tuna deficit.
Najua kuna watu wanajilipia kiasi cha ada kilichobakizwa na LB, najua gharama za vyumba na usafiri ziko juu, lakini bado kidogo kilichobakia hatukitumii katika kilichoelekezwa..
Matumizi mengi sana ya pesa ya boom yanapelekwa ndiko siko!
Imagine wanafunzi wa UDSM ambao wengi wao wanaishi hostel (kwa wanaopata), chakula bei maximum ni 1200, bado wanalia njaa! japokuwa pesa ni halali wapewe, lakini hoja ya msingi ni kwamba, tujifunze ku-save pesa!
hapo ndipo mnapotetea ujinga,
pesa mnatumia vibaya, mkiulizwa mnatoa macho kama mmebanwa na mlango!
kijana kuna pesa inatakiwa iwepo kwa ajili ya emergencies kama hizi!... kuwa mwelewa!
Mimi huu ni mwaka wangu wa tatu chuoni, nina shilingi laki sita ya ziada kutoka kwenye boom, unadhani hapo hata biashara ya kuanzia nikimaliza haitokosekana kwa hii pesa?..
Jifunze basi kutoka kwa wengine...
Mkuu unaandikaje?
huoni kuwa unatuthibitisha kuwa sisi ni division 5?
change this mkuu!