Jambo hili huweza kusaidia Kwa namba moja au nyingine katika kujikwamua kimaisha mara baada ya masomo hivyo Kwa Tanzania tuitakayo Kwa kipindi Cha miaka 5 Hadi 25 jambo hili linaweza kuwa chachu ya mabadiliko miongoni mwa wanamabadiliko.
Heeeh! Kwamba mtu anayepatiwa pesa ya kujikimu na HESLB ikatwe tena ili atunziwe pesa ya kujikimu baadaye na NSSF!!!! Duuh au sijakupata?
Jazia maelezo imekaajekaaje bro
Ndio ebu fikiria Kwa mnufaika wa miaka 3 hapo ana jumla ya boom cycle takribani ×4. × miaka 3 ni sawa na kuchukua pesa ya kujikima awamu 12 hivyo ikikatwa ELFU 40000/= Kwa Kila awamu Kuna shingapi baada ya kuhitimu??? SI mtaji tosha