Fedha za mauzo ya kitabu "Wewe ni Shahidi wa Kristo?" kilichoandikwa na CDF Mabeyo zakarabati Msikiti na Kanisa huko Msata!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wakazi wa Msata wamemshukuru Mkuu wa majeshi nchini Jenerali Venance Salvatory Mabeyo kwa kutoa sehemu ya fedha za mauzo ya kitabu chake kiitwacho "Wewe ni Shahidi wa Kristo?" ili kukarabati Msikiti na jengo la Kanisa Katoliki katika eneo lao

Naye mkuu wa shule ya jeshi Msata ameahidi kusaidia nguvu kazi katika ukarabati wa nyumba hizo za ibada.

Source: ITV habari

Mungu wa mbinguni mbariki Jenerali Mabeyo na Wanajeshi.
 
Ni hekima kubwa hii. Anaturudisha kwenye hekima za mfalme suleiman aliyeishi kwa kubalika na jamii zote. Tunaomba kwa mungu amuongezee hemika hizi na kuwa mshauri na mpatanishi kwa watawala wenzake ndani ya taifa lake kutokana na hali ya chuki za kisiasa na kijamii zinazostawi. Mungu wa ibrahim, wa isaka na yakobo aendelee kuwa kwako. Amina
 
Amina!
 
Back
Top Bottom