Fedha za mauzo ya kitabu "Wewe ni Shahidi wa Kristo?" kilichoandikwa na CDF Mabeyo zakarabati Msikiti na Kanisa huko Msata!

Fedha za mauzo ya kitabu "Wewe ni Shahidi wa Kristo?" kilichoandikwa na CDF Mabeyo zakarabati Msikiti na Kanisa huko Msata!

Kwa nini amekarabiti msikiti na kanisa?
 
Kama watu wote tungekuwa kama huyu Mzee Dunia ingekuwa mahalo salama pa kuishi, Mungu ambariki maana wakati wa Msiba wa JPM alisomamia kiapo chake, Mungu wa Mbingu amlinde
 
Unafiki tu. Askari wake wanawadhalilisha na kuwafanyia hila. Akajitathimini kwanza binafsi.
 
CDF ni fisadi kwa sababu angekuwa na ethics za kikristo angestaafu kwa kuwa umri wake wa kustaafu ulishafika.
 
Wakazi wa Msata wamemshukuru Mkuu wa majeshi nchini Jenerali Venance Salvatory Mabeyo kwa kutoa sehemu ya fedha za mauzo ya kitabu chake kiitwacho " Wewe ni Shahidi wa Kristo?" ili kukarabati Msikiti na jengo la Kanisa Katoliki katika eneo lao

Naye mkuu wa shule ya jeshi Msata ameahidi kusaidia nguvu kazi katika ukarabati wa nyumba hizo za ibada.

Source: ITV habari

Mungu wa mbinguni mbariki Jenerali Mabeyo na Wanajeshi.
Jo pesa haina dini
 
Back
Top Bottom