johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unabishana na ITV?Uongo
NdiyoUnabishana na ITV?
Mental case.Ndiyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tena paranoid schizophrenia! Usitaje tu mental ill case halafu haujui type ipi! Hujui kituMental case.
Amina!Ni hekima kubwa hii. Anaturudisha kwenye hekima za mfalme suleiman aliyeishi kwa kubalika na jamii zote. Tunaomba kwa mungu amuongezee hemika hizi na kuwa mshauri na mpatanishi kwa watawala wenzake ndani ya taifa lake kutokana na hali ya chuki za kisiasa na kijamii zinazostawi. Mungu wa ibrahim, wa isaka na yakobo aendelee kuwa kwako. Amina
Mungu ni mwema wakati wote!Huyu General anastahili kuwa Rais wa nchi hii
Kwani Kanisa na Msikiti havitoi elimu?Awekeze kwenye elimu. Ukijenga msikiti na kanisa na ukijenga shule kipi ni muhimu zaidi kwa maendeleo ya taifa?
JF ina vichaa wengi mno πππMental case.
Duh!labda tumulize mzee wetu wa jfKwani Kanisa na Msikiti havitoi elimu?
Hatuwezi kurudia kosa la kumpa nchi hii msukuma, never say never again.Huyu General anastahili kuwa Rais wa nchi hii