Fedha za mauzo ya kitabu "Wewe ni Shahidi wa Kristo?" kilichoandikwa na CDF Mabeyo zakarabati Msikiti na Kanisa huko Msata!

Kwa nini amekarabiti msikiti na kanisa?
 
Kama watu wote tungekuwa kama huyu Mzee Dunia ingekuwa mahalo salama pa kuishi, Mungu ambariki maana wakati wa Msiba wa JPM alisomamia kiapo chake, Mungu wa Mbingu amlinde
 
Unafiki tu. Askari wake wanawadhalilisha na kuwafanyia hila. Akajitathimini kwanza binafsi.
 
CDF ni fisadi kwa sababu angekuwa na ethics za kikristo angestaafu kwa kuwa umri wake wa kustaafu ulishafika.
 
Jo pesa haina dini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…