Uzio umeshajengwa kuzungushia eneoAliyekuwa mtendaji mkuu wetu aliyepita ndugu Barbara alianzisha harambee ya kuchangisha Fedha kwa ajili ya ujenzi wa kiwanja chetu ambapo mwekezaji wetu alitoa bilioni 2 kama mchango wake binafsi.
Yaani halafu walishaona pakupatia pesa ya mboga mboga.Hahahahahahaha,ila simba kwa michango tu wamezidi
Bakuli na mswahili ni chanda na peteIla bora wao huku kwetu kutembeza bakuli ndiyo maisha yetu.
Mjinga kumuunga mjinga mwenzake mkono.Yaani milioni 60ร1000 ndio ngapi vile?Hamjui kuwa watu maskini ndo fursa?Yaani ukiwaambia watu million 60 watoe elfu moja moja tu,hapo tayari una M60.Poleni mnaowachangia matajiri.Mnajua mnachangia uwanja kumbe mnamchangia Mmwamedi.
M 60 [emoji777]Hamjui kuwa watu maskini ndo fursa?Yaani ukiwaambia watu million 60 watoe elfu moja moja tu,hapo tayari una M60.Poleni mnaowachangia matajiri.Mnajua mnachangia uwanja kumbe mnamchangia Mmwamedi.
Lengo lilikuwa kusema shilingi moja moja,nikirefer maskini ,maana elfu moja kuna watu hata mia hawana.Any way ilikuwa imeshakwenda.
Yaani maneno mengi for nothing, nilitaka kusema shilingi moja moja,mimi sio kilaza hiyo hesabu inishinde.Mjinga kumuunga mjinga mwenzake mkono.Yaani milioni 60ร1000 ndio ngapi vile?
Hata kama kweli umekwenda shule ulikwenda kusomea ujinga?Halafu gongowazi wazi mwenzako anakuunga mkono.Eti uzalendo kwani huyo Msomali anayeawaibia na huyo mwarabu koko ni wazalendo?Ndio maana mlimbeba kwenye machela.Mentality ya kitumwa.
Kwan c mlichangia kwa hashuo lenu. Kwaio tulieni.Aliyekuwa mtendaji mkuu wetu aliyepita ndugu Barbara alianzisha harambee ya kuchangisha Fedha kwa ajili ya ujenzi wa kiwanja chetu ambapo mwekezaji wetu alitoa bilioni 2 kama mchango wake binafsi.
Wanasimba wengi tulichanga kwa fujo Fedha ili tuweze kumiliki kiwanja chetu Cha kuchezea mechi zetu mbalimbali.
Sasa ni zaidi ya miaka mitatu hatusikii chochote kutoka kwenye uongozi kuhusu hatma ya Michango yetu, Je ndio kusema Fedha zetu zimeliwa??
Wanasimba wenzangu mbona mmelala? Watu wanatafunaa Fedha zetu nanyinyi mpo kimya tu?
Naomba waziri wa Michezo, Sanaa na utamaduni uingilie kati hili suala maana Fedha zetu zinatuuma
Cc: Aden RageView attachment 2738790
Kenge wewe,lengo langu lilikuwa ni kuandika shilingi moja moja.Uwezo wako wa kuandika hayo ungeenda kwanza kusomea hesabu ingekusaidia sana yani watu million 60 wakitoa 1,000 inakuwa million 60 Kajifunze hesabu kwanza
Wacha utetezi wa kijinga.Shilingi moja sarafu yake inapatikana wapi?Kubali tu hesabu zilikupiga chenga.Yaani maneno mengi for nothing, nilitaka kusema shilingi moja moja,mimi sio kilaza hiyo hesabu inishinde.
Huna lolote, huo ni mfano. Hesabu ya kuongeza zero tatu kwenye million inishinde ?Fala wewe.Wacha utetezi wa kijinga.Shilingi moja sarafu yake inapatikana wapi?Kubali tu hesabu zilikupiga chenga.
Ilikushinda ndio maana ulikosea.Sasa umeshajua inaongezwa zero tatu๐๐๐.Kilaza mkubwa.Siku nyingine hesabu vidole kabla hujaandika ujinga wako.Huna lolote, huo ni mfano. Hesabu ya kuongeza zero tatu kwenye million inishinde ?Fala wewe.
Ila Takukuru haiwatendei haki Watanzania, hiki ealichofanyiwa wana Simba ni Utapeli na wizi wa waziwazi, halafu Simba haohao walivyonogewa kutapeliwa wakamchangia pesa Feisal kwenda CAS kumbe mwenzao kaenda Chamazi pesa zao zimeliwa pia.Hamjui kuwa watu maskini ndo fursa?Yaani ukiwaambia watu million 60 watoe elfu moja moja tu,hapo tayari una M60.Poleni mnaowachangia matajiri.Mnajua mnachangia uwanja kumbe mnamchangia Mmwamedi.
Wacha wee!๐๐Mjinga kumuunga mjinga mwenzake mkono.Yaani milioni 60ร1000 ndio ngapi vile?
Hata kama kweli umekwenda shule ulikwenda kusomea ujinga?Halafu gongowazi wazi mwenzako anakuunga mkono.Eti uzalendo kwani huyo Msomali anayeawaibia na huyo mwarabu koko ni wazalendo?Ndio maana mlimbeba kwenye machela.Mentality ya kitumwa.
Tuna tofauti gani nao?Hawa si ndio aina ya walioambiwa wamevimbiwa mihogo na Rais wa mwiko nyuma.Hamna agenda mpya sasa lazima ianzishwe.Wenzenu wana hata pa kufanyia mazoezi nyie tia mchuzi pangu pakavu hata cha kufugia samaki kiliwashinda.Walizoa matope limebaki korongo.
Kama ni Simba bora ujifanye tu umesahauAliyekuwa mtendaji mkuu wetu aliyepita ndugu Barbara alianzisha harambee ya kuchangisha Fedha kwa ajili ya ujenzi wa kiwanja chetu ambapo mwekezaji wetu alitoa bilioni 2 kama mchango wake binafsi.
Wanasimba wengi tulichanga kwa fujo Fedha ili tuweze kumiliki kiwanja chetu Cha kuchezea mechi zetu mbalimbali.
Sasa ni zaidi ya miaka mitatu hatusikii chochote kutoka kwenye uongozi kuhusu hatma ya Michango yetu, Je ndio kusema Fedha zetu zimeliwa??
Wanasimba wenzangu mbona mmelala? Watu wanatafunaa Fedha zetu nanyinyi mpo kimya tu?
Naomba waziri wa Michezo, Sanaa na utamaduni uingilie kati hili suala maana Fedha zetu zinatuuma
Cc: Aden RageView attachment 2738790
Mada haihusu Uto, unawaletaje hapa?onesha uwanja wa utopolo kwanza