Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Mwaka gani hii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka gani hii?
Mwaka jana mwezi wa Novemba.Watu wote waliovamia uwanja wametolewa na uwanja umezungushiwa ukuta.Mwaka gani hii?
Feisal,alidanganya michango ataipeleka kanisani na misikitini 🤣.Iam sure ile michango kampa mama yake ili asiendelee kula ugali kwa sukari.Ila Takukuru haiwatendei haki Watanzania, hiki ealichofanyiwa wana Simba ni Utapeli na wizi wa waziwazi, halafu Simba haohao walivyonogewa kutapeliwa wakamchangia pesa Feisal kwenda CAS kumbe mwenzao kaenda Chamazi pesa zao zimeliwa pia.
Nimechanga zaidi ya laki 2 hapo MzeeBila unafiki, sema ktk hizo fedha wewe ulichangia TSH ngapi. Na he uwanja huo unagharim TSH ngapi. Ukijib hayo hata MO lazima awe mpole
Lengo la Michango ilikuwa tujenge uwanjaKwan c mlichangia kwa hashuo lenu. Kwaio tulieni.
Aisee kumbe paka pesa za rambirambi za marehemu mafisango zililiwa?Laana ya kula hela za rambi rambi za Mafisango bdo inawatafuna
Acha kutetea ujinga. Fedha zetu za Michango ziko wapi? Au na Wewe ni sehemu ya uongozi wa Simba mliokula pesa zetu?Ni ajabu wanaokereka ni Utopolo wakati Simba wapo kimya.Endeleeni na ujinga wenu.
mo arena umejengwa kwa gharama ya nani?Mada haihusu Uto, unawaletaje hapa?
Ndio maana timu yetu haifanikiwi, badala tujadili pesa ziko wapi unaanza kucompare na Yanga
Kwani Uto waliopewa Bil.20 au hata Bil 2?
Walitangaza wanajenga uwanja?
Team inauikufurahisha hitaki kuchangiaMiongoni mwa Mambo ya kipuuzi nilishaapa sitakuja kufanya
1. Kuchanga fedha kwa ajili ya club ya mpira kujenga uwanja/ kuendesha timu
2. Kuchangia msanii fedha akiwa katika hali ngumu/ ugonjwa
3. Kuchanga fedha kwa ajili ya chama cha siasa
Zipo njia sahihi za kuchangia chama kama vile kunua jezi, kwenda viwanja nk lakini sio ile staili ya Yanga ya bakuli huko ni kuendekeza viongozi wajinga kwa kutowajibika na kuinua kopato cha timu
Ni B60Hamjui kuwa watu maskini ndo fursa?Yaani ukiwaambia watu million 60 watoe elfu moja moja tu,hapo tayari una M60.Poleni mnaowachangia matajiri.Mnajua mnachangia uwanja kumbe mnamchangia Mmwamedi.
Lengo langu lilikuwa ni kusema shilingi moja moja.Ni B60
Wewe hata hela ya kupanga kachumba kamoja uswazi inakushinda unaishi kwa dadako ndiyo uichangie Simba. Hivi Utokolo msipoitaja Simba huwa mnakosa nini?Aliyekuwa mtendaji mkuu wetu aliyepita ndugu Barbara alianzisha harambee ya kuchangisha Fedha kwa ajili ya ujenzi wa kiwanja chetu ambapo mwekezaji wetu alitoa bilioni 2 kama mchango wake binafsi.
Wanasimba wengi tulichanga kwa fujo Fedha ili tuweze kumiliki kiwanja chetu Cha kuchezea mechi zetu mbalimbali.
Sasa ni zaidi ya miaka mitatu hatusikii chochote kutoka kwenye uongozi kuhusu hatma ya Michango yetu, Je ndio kusema Fedha zetu zimeliwa??
Wanasimba wenzangu mbona mmelala? Watu wanatafunaa Fedha zetu nanyinyi mpo kimya tu?
Naomba waziri wa Michezo, Sanaa na utamaduni uingilie kati hili suala maana Fedha zetu zinatuuma
Cc: Aden RageView attachment 2738790
Hamia kabisa hukuSisi mashabiki wa simba tunaona ni bora tu timu yetu iongozwe na Mzalendo mwenzetu Mzee Kilomoni. Hao viongozi wa sasa hatuwaamini hata kidogo. Yaani wamekula hela zetu hivi hivi. [emoji3062]
Kamuulize aliyekuchangishaAliyekuwa mtendaji mkuu wetu aliyepita ndugu Barbara alianzisha harambee ya kuchangisha Fedha kwa ajili ya ujenzi wa kiwanja chetu ambapo mwekezaji wetu alitoa bilioni 2 kama mchango wake binafsi.
Wanasimba wengi tulichanga kwa fujo Fedha ili tuweze kumiliki kiwanja chetu Cha kuchezea mechi zetu mbalimbali.
Sasa ni zaidi ya miaka mitatu hatusikii chochote kutoka kwenye uongozi kuhusu hatma ya Michango yetu, Je ndio kusema Fedha zetu zimeliwa??
Wanasimba wenzangu mbona mmelala? Watu wanatafunaa Fedha zetu nanyinyi mpo kimya tu?
Naomba waziri wa Michezo, Sanaa na utamaduni uingilie kati hili suala maana Fedha zetu zinatuuma
Cc: Aden RageView attachment 2738790
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja mbumbumbu wenzako waje kukushambulia