Fedha zetu za Michango ya ujenzi wa uwanja wa Simba ndio zimeliwa?

Aliyekuwa mtendaji mkuu wetu aliyepita ndugu Barbara alianzisha harambee ya kuchangisha Fedha kwa ajili ya ujenzi wa kiwanja chetu ambapo mwekezaji wetu alitoa bilioni 2 kama mchango wake binafsi.
Uzio umeshajengwa kuzungushia eneo

1693899221574.png
 
Hamjui kuwa watu maskini ndo fursa?Yaani ukiwaambia watu million 60 watoe elfu moja moja tu,hapo tayari una M60.Poleni mnaowachangia matajiri.Mnajua mnachangia uwanja kumbe mnamchangia Mmwamedi.
Mjinga kumuunga mjinga mwenzake mkono.Yaani milioni 60×1000 ndio ngapi vile?
Hata kama kweli umekwenda shule ulikwenda kusomea ujinga?Halafu gongowazi wazi mwenzako anakuunga mkono.Eti uzalendo kwani huyo Msomali anayeawaibia na huyo mwarabu koko ni wazalendo?Ndio maana mlimbeba kwenye machela.Mentality ya kitumwa.
 
Yaani maneno mengi for nothing, nilitaka kusema shilingi moja moja,mimi sio kilaza hiyo hesabu inishinde.
 
Aliyekuwa mtendaji mkuu wetu aliyepita ndugu Barbara alianzisha harambee ya kuchangisha Fedha kwa ajili ya ujenzi wa kiwanja chetu ambapo mwekezaji wetu alitoa bilioni 2 kama mchango wake binafsi.
Wanasimba wengi tulichanga kwa fujo Fedha ili tuweze kumiliki kiwanja chetu Cha kuchezea mechi zetu mbalimbali.

Sasa ni zaidi ya miaka mitatu hatusikii chochote kutoka kwenye uongozi kuhusu hatma ya Michango yetu, Je ndio kusema Fedha zetu zimeliwa??

Wanasimba wenzangu mbona mmelala? Watu wanatafunaa Fedha zetu nanyinyi mpo kimya tu?

Naomba waziri wa Michezo, Sanaa na utamaduni uingilie kati hili suala maana Fedha zetu zinatuuma

Cc: Aden RageView attachment 2738790
Kwan c mlichangia kwa hashuo lenu. Kwaio tulieni.
 
Uwezo wako wa kuandika hayo ungeenda kwanza kusomea hesabu ingekusaidia sana yani watu million 60 wakitoa 1,000 inakuwa million 60 Kajifunze hesabu kwanza
Kenge wewe,lengo langu lilikuwa ni kuandika shilingi moja moja.
 
Yaani maneno mengi for nothing, nilitaka kusema shilingi moja moja,mimi sio kilaza hiyo hesabu inishinde.
Wacha utetezi wa kijinga.Shilingi moja sarafu yake inapatikana wapi?Kubali tu hesabu zilikupiga chenga.
 
Huna lolote, huo ni mfano. Hesabu ya kuongeza zero tatu kwenye million inishinde ?Fala wewe.
 
Ilikushinda ndio maana ulikosea.Sasa umeshajua inaongezwa zero tatu😂😂😂.Kilaza mkubwa.Siku nyingine hesabu vidole kabla hujaandika ujinga wako.
 
Pira la bongo kila mmoja anatamba ila baadae .aumivu mara mchezaji kadanganya mara hela za uwanja zimepigwa😂😂😂 mtanyooka tu
 
Hamjui kuwa watu maskini ndo fursa?Yaani ukiwaambia watu million 60 watoe elfu moja moja tu,hapo tayari una M60.Poleni mnaowachangia matajiri.Mnajua mnachangia uwanja kumbe mnamchangia Mmwamedi.
Ila Takukuru haiwatendei haki Watanzania, hiki ealichofanyiwa wana Simba ni Utapeli na wizi wa waziwazi, halafu Simba haohao walivyonogewa kutapeliwa wakamchangia pesa Feisal kwenda CAS kumbe mwenzao kaenda Chamazi pesa zao zimeliwa pia.
 
Mjinga kumuunga mjinga mwenzake mkono.Yaani milioni 60×1000 ndio ngapi vile?
Hata kama kweli umekwenda shule ulikwenda kusomea ujinga?Halafu gongowazi wazi mwenzako anakuunga mkono.Eti uzalendo kwani huyo Msomali anayeawaibia na huyo mwarabu koko ni wazalendo?Ndio maana mlimbeba kwenye machela.Mentality ya kitumwa.
Wacha wee!😀😀
 
Attachments

  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    49.1 KB · Views: 1
Hawa si ndio aina ya walioambiwa wamevimbiwa mihogo na Rais wa mwiko nyuma.Hamna agenda mpya sasa lazima ianzishwe.Wenzenu wana hata pa kufanyia mazoezi nyie tia mchuzi pangu pakavu hata cha kufugia samaki kiliwashinda.Walizoa matope limebaki korongo.
Tuna tofauti gani nao?
 
Ni ajabu wanaokereka ni Utopolo wakati Simba wapo kimya.Endeleeni na ujinga wenu.
 
Aliyekuwa mtendaji mkuu wetu aliyepita ndugu Barbara alianzisha harambee ya kuchangisha Fedha kwa ajili ya ujenzi wa kiwanja chetu ambapo mwekezaji wetu alitoa bilioni 2 kama mchango wake binafsi.
Wanasimba wengi tulichanga kwa fujo Fedha ili tuweze kumiliki kiwanja chetu Cha kuchezea mechi zetu mbalimbali.

Sasa ni zaidi ya miaka mitatu hatusikii chochote kutoka kwenye uongozi kuhusu hatma ya Michango yetu, Je ndio kusema Fedha zetu zimeliwa??

Wanasimba wenzangu mbona mmelala? Watu wanatafunaa Fedha zetu nanyinyi mpo kimya tu?

Naomba waziri wa Michezo, Sanaa na utamaduni uingilie kati hili suala maana Fedha zetu zinatuuma

Cc: Aden RageView attachment 2738790
Kama ni Simba bora ujifanye tu umesahau

Potezea tu, viongozi walishapiga kitamboo
 
onesha uwanja wa utopolo kwanza
Mada haihusu Uto, unawaletaje hapa?

Ndio maana timu yetu haifanikiwi, badala tujadili pesa ziko wapi unaanza kucompare na Yanga

Kwani Uto waliopewa Bil.20 au hata Bil 2?

Walitangaza wanajenga uwanja?
 
Back
Top Bottom