Fedha zetu za Michango ya ujenzi wa uwanja wa Simba ndio zimeliwa?

Ila Takukuru haiwatendei haki Watanzania, hiki ealichofanyiwa wana Simba ni Utapeli na wizi wa waziwazi, halafu Simba haohao walivyonogewa kutapeliwa wakamchangia pesa Feisal kwenda CAS kumbe mwenzao kaenda Chamazi pesa zao zimeliwa pia.
Feisal,alidanganya michango ataipeleka kanisani na misikitini 🤣.Iam sure ile michango kampa mama yake ili asiendelee kula ugali kwa sukari.
 
Mna uhakika kanjiabai alitoa kweli hizo pesa alizosema ??? au alifurahisha genge tuu ????
Tutafakari !! Billioni mbili si mchezooo !!!
 
Ni ajabu wanaokereka ni Utopolo wakati Simba wapo kimya.Endeleeni na ujinga wenu.
Acha kutetea ujinga. Fedha zetu za Michango ziko wapi? Au na Wewe ni sehemu ya uongozi wa Simba mliokula pesa zetu?
 
Mada haihusu Uto, unawaletaje hapa?

Ndio maana timu yetu haifanikiwi, badala tujadili pesa ziko wapi unaanza kucompare na Yanga

Kwani Uto waliopewa Bil.20 au hata Bil 2?

Walitangaza wanajenga uwanja?
mo arena umejengwa kwa gharama ya nani?
 
Reactions: Tui
Miongoni mwa Mambo ya kipuuzi nilishaapa sitakuja kufanya
1. Kuchanga fedha kwa ajili ya club ya mpira kujenga uwanja/ kuendesha timu
2. Kuchangia msanii fedha akiwa katika hali ngumu/ ugonjwa
3. Kuchanga fedha kwa ajili ya chama cha siasa
 
Miongoni mwa Mambo ya kipuuzi nilishaapa sitakuja kufanya
1. Kuchanga fedha kwa ajili ya club ya mpira kujenga uwanja/ kuendesha timu
2. Kuchangia msanii fedha akiwa katika hali ngumu/ ugonjwa
3. Kuchanga fedha kwa ajili ya chama cha siasa
Team inauikufurahisha hitaki kuchangia
Starehe gharama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Tui
Mfano itokee kitu next time kuna mtu ata changa kwa huu uhuni tulifanyiwa?
 
Hamjui kuwa watu maskini ndo fursa?Yaani ukiwaambia watu million 60 watoe elfu moja moja tu,hapo tayari una M60.Poleni mnaowachangia matajiri.Mnajua mnachangia uwanja kumbe mnamchangia Mmwamedi.
Ni B60
 
Reactions: Tui
Wewe hata hela ya kupanga kachumba kamoja uswazi inakushinda unaishi kwa dadako ndiyo uichangie Simba. Hivi Utokolo msipoitaja Simba huwa mnakosa nini?
 
Reactions: Tui
Sisi mashabiki wa simba tunaona ni bora tu timu yetu iongozwe na Mzalendo mwenzetu Mzee Kilomoni. Hao viongozi wa sasa hatuwaamini hata kidogo. Yaani wamekula hela zetu hivi hivi. [emoji3062]
Hamia kabisa huku
 
Reactions: Tui
Unadhani kujenga uwanja ni kitu rahisi real Madrid wamechukua miaka kadhaa kurekebisha Santiago bernabeu kujenga uwanja sio kalio kwamba kila mtu analo
 
Reactions: Tui
Kamuulize aliyekuchangisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…