Fedha zilizokuwa katika akaunti maalumu ya IPTL (Tegeta Escrow account), ni mali ya umma

huo mkanganyiko ndio umesababisha watu kula...
 
Hakuna mkanganyiko hapo, ila watu wanataka kuhalalisha wizi walioufanya ili sheria isichukue mkondo wake. Kwa huo wizi hata miaka hamsini ijayo mtashitakiwa tu. Wezi wenzenu hawatawashitaki, ila watanzania hata makaburi yenu watayashitaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…