Mwanamaji
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,905
- 4,518
Au kusingekua na sherehe ya CCM hao walinzi wangemlinda Rais for free ? Maana Rais yupo mkoani Mara kwa ziara ya siku nne.Hiyo ni fixed cost Mkuu.
Au unataka kutuambia mishahara ya walinzi wa Rais itakuwa na nyongeza y siku moja waliomlinda Rais akiwa kwenye sherehe ya Chama chake?
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Nimemshangaa sana huyu jamaa kwa hoja yake ya gharama za ulinzi wa Rais.