Au kusingekua na sherehe ya CCM hao walinzi wangemlinda Rais for free ? Maana Rais yupo mkoani Mara kwa ziara ya siku nne.Hiyo ni fixed cost Mkuu.
Au unataka kutuambia mishahara ya walinzi wa Rais itakuwa na nyongeza y siku moja waliomlinda Rais akiwa kwenye sherehe ya Chama chake?
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
πππUtamkumbuka Sana tu. Na ikibidi utaanza kumuota,lkn ukweli mchungu ni kwamba hafufuki tena hivyo hatorudi. Yuko zake moyoni anaungua kwa maovu aliyoyatenda.
Kwa hiyo wakuu wa mikoa ma DC wakurugenzi na usalaama wote waliopo kwenye sherehe hizo wamejaza mafta na pesa za chakula kwa hela za chama ! Aiseee usingizi gani huo ulionaoAcha kuteseka bwashee fedha ni za chama!
Kwanza kabisa niipongeze Chama cha Mapinduzi kufanya sherehe yake ya miaka 45 Mkoani Mara katika Manispaa ya Musoma.
Najua kuwa rasilmali nyingi zimetumika lakini ni matumizi ya siku moja tu LAKINI kwa ushauri wangu rasilmali zilizotumika leo zingeelekezwa katika miradi ya maendeleo kama barabara, Vituo vya Afya, kununua magari ya wagonjwa nk.
Hapa ndo bado namkumbuka Marehemu Mhe. Dr. Magufuli mawazo yake yangekuwa tofauti na mawazo ya leo.
Mwendazake alikuwa akitutangazia anaahirisha sherehe ili fedha ipelekwe kwenye maendeleo! Kumbe alikuwa hafanyi hivyo.Kwanza kabisa niipongeze Chama cha Mapinduzi kufanya sherehe yake ya miaka 45 Mkoani Mara katika Manispaa ya Musoma.
Najua kuwa rasilmali nyingi zimetumika lakini ni matumizi ya siku moja tu LAKINI kwa ushauri wangu rasilmali zilizotumika leo zingeelekezwa katika miradi ya maendeleo kama barabara, Vituo vya Afya, kununua magari ya wagonjwa nk.
Hapa ndo bado namkumbuka Marehemu Mhe. Dr. Magufuli mawazo yake yangekuwa tofauti na mawazo ya leo.
Nani kakwambia ni mali ya umma?Ndiyo watumie mali za umma?