Fedha zimepungua mikononi mwa Wananchi

Fedha zimepungua mikononi mwa Wananchi

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Ni ukweli usiopingika, fedha zimepungua mikononi mwa wananchi. Mfano hai ni pale hapa Mwanza bei ya nyama imepungua kutoka Tshs. 8000 kwa kilo mpaka Tshs.7000.

Hii inaonesha dhana ya supply and demand. Tunaiomba Serikali iachie fedha ili ziingie kwenye mzunguko.

Watu wengi hawana fedha.
 
Washushe bei ya vitu vya kila siku ambavyo kila mwananchi anavitumia, nyama sio kigezo sana kuna wengine vegetarian
 
Back
Top Bottom