Maneno yanamtoka mtu aliyekalisha limwili lake tu. Hajui lolote kuhusu ngumi
Ingekuwa kila ukikosea unahukumiwa hivyo . Wazaz wako si wangekuwa wameshakuua
Unaweza kukuta Jamaa ni bondia mzur na ameshawah kupiga hata watu wa nje ila hakusifiwa kushindwa mech moja ambayo hata hamjui alifikaje mnajikuta wajuaj
Nahis bongo Ndo nchi inayoongoza kwa wachaw ambao hawana vitendea kaz
Ametua leo mchana nilitaman nikamtie hata dole gumba kunako nyumani kwake
Ahsante kwa maoni..Maneno yanamtoka mtu aliyekalisha limwili lake tu. Hajui lolote kuhusu ngumi
Ingekuwa kila ukikosea unahukumiwa hivyo . Wazaz wako si wangekuwa wameshakuua
Unaweza kukuta Jamaa ni bondia mzur na ameshawah kupiga hata watu wa nje ila hakusifiwa kushindwa mech moja ambayo hata hamjui alifikaje mnajikuta wajuaj
Nahis bongo Ndo nchi inayoongoza kwa wachaw ambao hawana vitendea kaz
Vingumi vidogo lakini mmatumbi kalevywa navyo mapema ..! nimehisi kuna namana si bure
Yule bondia wa Bongo aliyepigwa ngumi moja hadi kuletewa mitungi ya oxygen atutake radhi wa watanzania na Umma wa kiislam kwa ujumla.
serikali imnyang'nye Hati yake ya kusafiria pamoja na adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine.
na promota wake anyang'nywe leseni yake..
kipigo hicho ni fedhea kubwa sana.
Yule dogo(mpigaji) ana miaka 19 na Huyu mpigwaji ana miaka 33 kwa kipigo kile ni aibu na fedhea kubwa sana.
kwanza dogo alipiga alama ya msalaba kabla ya gemu kitu ambacho ni kufuru kabisa. ishara hiyo ndani ya viunga vya Maka na madina ni kufuru kubwa...
haya ni maoni yangu.
ninao uhuru wa kuongea kwa mjibu wa katiba.
***Pusha ni ongeza stik moja niende*.
Rekebisha title.Yule bondia wa Bongo aliyepigwa ngumi moja hadi kuletewa mitungi ya oxygen atutake radhi wa watanzania na Umma wa kiislam kwa ujumla.
serikali imnyang'nye Hati yake ya kusafiria pamoja na adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine.
na promota wake anyang'nywe leseni yake..
kipigo hicho ni fedhea kubwa sana.
Yule dogo(mpigaji) ana miaka 19 na Huyu mpigwaji ana miaka 33 kwa kipigo kile ni aibu na fedhea kubwa sana.
kwanza dogo alipiga alama ya msalaba kabla ya gemu kitu ambacho ni kufuru kabisa. ishara hiyo ndani ya viunga vya Maka na madina ni kufuru kubwa...
haya ni maoni yangu.
ninao uhuru wa kuongea kwa mjibu wa katiba.
***Pusha ni ongeza stik moja niende*.
sina hakika kwamba jamaa ana kocha..Hivi hata kocha alikua nae huyu bwana selemani said?
View attachment 1287314