Fedhea

Mchezo wa masumbwi wakijinga sana,sasa mtu umetoa pesa zako za kiingilio halafu boya kama huyo anapigwa ndani ya dakika 2:23.
Pesa imeenda bure.
Ndo maaana mimi uwa ninauangilia kupitia Mb za buku tu
 
hata kama sijui ila naweza pinga kitu kwa logic..
huyu bondia nae ni wa jalalani tu kama yule Pro wa hamnazo.
 
Mkuu hakuna bondia hapo kama kweli wewe ni mpenzi wa boxing na unafatilia huo mchezo kuna technical failures utaziona kwa huyo jamaa angalia anavyo guard anavyo attack hata commenter umemsikia alicho sema?
 
Hapa unamaanisha ALAMA YA MSALABA NDIYO SIRI YA USHINDI dhidi ya alama ya nyota na mwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…