Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata kama sijui ila naweza pinga kitu kwa logic..Nimepoteza muda tu kukosa makala yako
1 kwanza hujui chochote kuhusu ngumi.
2 Kwenye ngumi hatuangalii umri tunaangalia weight.
3 Bondia kupigwa round 1 sio tatizo ni kawaida kwenye huu mchezo nasio mchezo huu tu hata mpila watu wanafungwa goli hata dk 1 bado.
4 wote huyu bondia tulikuwa hatumjui lakini mpaka kufikia pale kupambana au kupewa pambano la utangulizi katika pambano kubwa kama lile la Dunia sio ishundogo.
5 vp kama angeshinda bwana sele pambano leo ungeongea shit zako hapa kama ulivyofanya?.
Nimepoteza muda tu kukosa makala yako

Yule bondia wa Bongo aliyepigwa ngumi moja hadi kuletewa mitungi ya oxygen atutake radhi wa watanzania na Umma wa kiislam kwa ujumla.
serikali imnyang'nye Hati yake ya kusafiria pamoja na adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine.
na promota wake anyang'nywe leseni yake..
kipigo hicho ni fedhea kubwa sana.
Yule dogo(mpigaji) ana miaka 19 na Huyu mpigwaji ana miaka 33 kwa kipigo kile ni aibu na fedhea kubwa sana.
kwanza dogo alipiga alama ya msalaba kabla ya gemu kitu ambacho ni kufuru kabisa. ishara hiyo ndani ya viunga vya Maka na madina ni kufuru kubwa...
haya ni maoni yangu.
ninao uhuru wa kuongea kwa mjibu wa katiba.
***Pusha ni ongeza stik moja niende*.
Huyo boya sijui ni mpemba wa wapi. Akifika tuu airport achalazwe bakora 40 za kisunna. Kisha Akapumzishwe magereza Keko