Feedback kutoka kwenye ule uzi wa OKX na give away zake

Feedback kutoka kwenye ule uzi wa OKX na give away zake

FestoKaguo

Senior Member
Joined
Apr 1, 2022
Posts
128
Reaction score
202
Habari wana JF hope mnajiandaa vyema kabisa na pasaka wiki hii
Wiki kadhaa zilizopita nilishare thread humu iliyokuwa inahusu blockchain and cyptocurrency especially kwenye kipengele cha crypto exchanges.

Kwenye huo uzi nilielezea kuhusu zawadi au Give away zilizokuwa zinatolewa na exchange ya OKX ambapo waliweka vigezo kadhaa kwa mtu anayetaka kushiriki kwenye hiyo challenge ili uweze kuwa eligible kupata zawadi zao.

Moja wapo ya vigezo walivyoweka ilikuwa ni lazima kila mshiriki awe na account ya OKX pia iwe verified hiyo account baada ya hapo kila mshiriki akatakiwa ajoin kwenye telegram group la OKX Africa n.k

Baada ya hapo kila mshiriki aliyejoin kwenye telegram group alikuwa anapewa unique link yake aliyotakiwa kuishare kwa watu wengine waweze kujoin kwenye telegram group yao

BTW reward yao ilikuwa ndogo sana kwani waliweka kibindoni almost dola 700 ili watu waweze kuigombania kwa kazi yao haikuwa ngumu mimi nikaona nishare tu Mungu si athumani nikaambulia total of 25$ katika zile 700. Na waliweka makundi ya washindani i.e mshindi wa kwanza atapata kiasi fulani na kuna nyingine walikuwa wanazigawa kwa makundi ( labda watu kumi wakifungamana watalipwa $25 kila mmoja)
Screenshot_20250415_094631_Gmail.jpg

Baada ya kushare hizo tips humu kuna watu walilebehi kama ilivyo kawaida ya wanadamu, mwingine alaidharau dola 700 kuwa ni ndogo na mwingine akasema OKX ni Scam 😅🖖

Anyway, hii ilikuwa ni feedback yangu tu upande wa cryptocurrency and blockchain kuwa hela za bure kama hizi sio za kuacha kushare link tu nacho ni kitu cha kubeza? Tuacheni masihara bhana 😅
Ya kwangu ni hayo tu guys kama kuna maswali nawakaribisha kwenye comment section
Ciao 🙏🥂
 
Back
Top Bottom