Feedback kwenye mfumo wa ESS

Feedback kwenye mfumo wa ESS

Kilunguru

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2023
Posts
416
Reaction score
544
Huu mfumo ni mzuri sana, Ila sjajua feedback ya huduma tulizoziomba tunazipataje na kwa muda gani, kwa anayejua au alishawahi pewa feedback atupe elimu kidogo.
 
Uhuni mtupu hawatoi mawasiliano ya watu wa it wa mfumo mambo mengi yako hovyo. Hakuna msaada
 
Halafu wanakatia watu mishahara kisa hawajajiunga kwenye pepmis waache kutengeneza taharuki kwenye utumishi wa umma! Unakuta eti walimu 700 wote wanaitwa halmashauri kisa mfumo kupewa onyo hao wanafunzi wanabaki nani? Huko mashuleni?
 
Huu mfumo ni mzuri sana, Ila sjajua feedback ya huduma tulizoziomba tunazipataje na kwa muda gani, kwa anayejua au alishawahi pewa feedback atupe elimu kidogo.
Mbona umeshauona ni mzuri sana kabla ya kujua ufanisi wake?
 
Halafu wanakatia watu mishahara kisa hawajajiunga kwenye pepmis waache kutengeneza taharuki kwenye utumishi wa umma! Unakuta eti walimu 700 wote wanaitwa halmashauri kisa mfumo kupewa onyo hao wanafunzi wanabaki nani? Huko mashuleni?
Duh hii kitu sidhani kama nikweli mkuu
 
Back
Top Bottom