Feedback: Natafuta mchumba

Feedback: Natafuta mchumba

My dear sijasema mapenzi yanachagua ulaya. Nimetoa a simple observation na nikaconclude kwamba waliosoma nje wana exposure so hata lugha yao ni tofaut na hawa ambao hawana exposure. Wasio na exposure wana lugha kali halafu hata approach yao sio ya kigentlema. Anyway unajua kizungu nacho kina mvuto wake.
Gentleman kisa kukaa ulaya?
We Dada una ushamba Fulani hv
 
Umetumia vigezo gani kupima hiyo seriousness. Usije kuwa kama jamaa yangu aliyetembea na jini na sasa ni marehemu tangy Sikh hyo. Any way maisha mema
 
Ajotokeze bhas mwingne nasi tumalize mchezo hamsikii wivu wadada
 
Mbona wew umekaa kama mwongo mwongo tu?? Siku si nyingi ulikuwa anaomba ushauri juu ya divorce, sina uhakika kama ulipata au umeamua kutafuta juu kwa juu, sasa hivi unasema uko na 34 years unatafuta mchumba!! Je huyu hapa chini kwa picha si wew??
View attachment 375694
Hehehehe wanasema ukiwa muongo uwe na kumbukumbi
 
Sidhani kama kuna seriousness hapa na wabeba box huko ulaya na wachuma Apple na machungwa.

Tumeendelea kuwa na fikra za kitumwa kila sehemu ona hapa eti approach ya kiafrika ni mbaya haina exposure ndio maana itakua ngumu kuwa na uhusiano wa kudumu kwa kutojikubali.

Halafu watu kadigree kamoja viwili tayari ni msomi wakati ameshindwa kuelewa hata umri sahihi wa kuwa na familia wakati wenzako wanaitwa bibi wewe bado unahangaika na kutafuta mchumba bado una factor ya kujiita msomi na exposure unayo.

Elimu ni jinsi tu unaweza kuyatumia mazingira vizuri kufanikisha yako vinginevyo hamna haja ya kusifia vyeti na usomi usio na tija
Mkuu nimekukubali sana kwa post yako.

Miaka 32+ cyo umri wa kuhangaika na wachumba.
Bali ni umri ambao mwanamke anapaswa kuwa na familia iliyokamili.(mume+watoto).
 
Hello wapendwa. ..Kwa heshima na taadhima na fur aha napenda kutangaza nimepata mwanaume au tuseme rafiki na nimempenda na kwasasa tupo kwenye urafiki. He is educated and matured. Yani my type and naomba mungu aweke mkono wake tufike mahali pazuri. Waliojitokeza ni wengi na asilimia 90 ni mamluki meaning serengeti boys wanaotafuta kulelewa, waume za watu wenye misongo ya mawazo na wengine matapeli tu yani wahuni yu. 10% walionekana serious. Na hii percent ya waliokua serious karibu wote wamesoma ulaya na wengine wapo masomoni ulaya. Nimegundua wabongo tuna tatizo la exposure Halafu pia wanaume wa kibongo hama respect Kwa wanawake Yani you take women for.granted. in short nimeona the power of education hata kwenye mambo ya mahusiano. Asanteni nyote mlioonyesha interest na wale waliotukana pia asanteni. Nataka kufunga akaunti hiI na nijotea kabisa Jamiii forum.
I see!!
 
Hili ni tatzo la kuwa limbukenii.....yaan hujielewi kabisa ww
 
Mara nyingi nimekuwa nikiamini,na sitaki mtu anibadilishe ninachoamini..MTU yeyote anayesaka mpenzi kwenye mitandao kama ni jinsia ya kiume basi ni DOMO ZITO na kama ni Wa kike basi muonekano wake ni Wa aina yake..maana hadi uanze kuwasaka mtandaoni inamaana hawaji kabisa..
 
Pole sana kwa imani hiyo. .....kama bado unaamini eti mwanamke kuolewa hadi awe mrembo basi bado sana hujagundua .Angalia idadi ya wanawake wazuri walioopo mtaani ambao wako desperate kutafuta waume
 
Mkuu nimekukubali sana kwa post yako.

Miaka 32+ cyo umri wa kuhangaika na wachumba.
Bali ni umri ambao mwanamke anapaswa kuwa na familia iliyokamili.(mume+watoto).
Ha ha ha ha ha ndo maana nikasema wabongo tuna lack exposure
 
UNAWEZA UKAONA UMEPATA KUMBE NDIO UMEKOSA...NA UNAWEZA UKAONA UMEKOSA KUMBE NDIO UMEPATA......

USIONE UKAZANI.......MOYO WA MTU NI KICHAKA.......LA MTU ANALIJUA MTU......

AKILI NI NYWELE NA KILA MTU NA ZA KWAKE.....
 
Mara nyingi nimekuwa nikiamini,na sitaki mtu anibadilishe ninachoamini..MTU yeyote anayesaka mpenzi kwenye mitandao kama ni jinsia ya kiume basi ni DOMO ZITO na kama ni Wa kike basi muonekano wake ni Wa aina yake..maana hadi uanze kuwasaka mtandaoni inamaana hawaji kabisa..
Umenena
 
Back
Top Bottom