The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Huyu mchumba siishi nae , kila mtu anaishi kwake, ila almost Huwa anakuja kwangu na anakaa Kwa muda wa hata week 2 ..
Ok .. Jana nilijitahidi sana kumpgia simu mida ya asubuhi Ili tujue ratiba itaishaje like kutoka out , and other stuffs Kwa siku ya valentine's, simu haikupokelewa , piga sana simu inaita tu , bila mafanikio.
Kapokea Leo asubuhi,, aseee eti ananiambia alikuwa kwenye msiba huko chanika , kwahyo simu aliisahau ndani , aligundua kasahau simu baada ya kufika msibani.
Nimeshangaa sana amenipa jibu jepesi sana, alafu anajibu Kwa shortcut sana ..
Yani sielewi ,