Feedback ya mpenzi wangu Kwa kuto pokea simu Jana siku ya wapenda nao

Unadate na whore alafu unasema ni mpenzi wako unazingua.
 
Huo ni upotezaji wa Muda, infact wanaume wajinga ndio Huwa mnafanya hayo mkijihisi ni Ugud guy huooo

The moreee unavyotafuta kujua habari za mwanamke , ndivo utakavyozidi kuumia.

HUYO JANA KATOMBWAA THE WHOLE DAY.
katumia neno msiba kama code
 
Huyo ni malaya sio mpz,,, ! Mpotezee kwa Faida ya afya yako na uchumi wako,,,, ila kama ni wewe ni mmbishi, mkomoe, tafuta rfk ake pc kali tembea nae, jitahidi ajue,,,, japo revenge sio nzuri!
 
Huyu mchumba siishi nae , kila mtu anaishi kwake, ila almost Huwa anakuja kwangu na anakaa Kwa muda wa hata week 2 ..

Ok .. Jana nilijitahidi sana kumpgia simu mida ya asubuhi Ili tujue ratiba itaishaje like kutoka out , and other stuffs Kwa siku ya valentine's, simu haikupokelewa , piga sana simu inaita tu , bila mafanikio.

Kapokea Leo asubuhi,, aseee eti ananiambia alikuwa kwenye msiba huko chanika , kwahyo simu aliisahau ndani , aligundua kasahau simu baada ya kufika msibani.

Nimeshangaa sana amenipa jibu jepesi sana, alafu anajibu Kwa shortcut sana ..

Yani sielewi ,
Unaonekana una utoto ndio maana Demu anakuchukulia poa...jana kaenda kupigwa Pipe huyo
 
Kijana mipango inapangwa mapema, Sasa wewe siku ya tukio ndio unaanza mpango...
 
Huyu mchumba siishi nae , kila mtu anaishi kwake, ila almost Huwa anakuja kwangu na anakaa Kwa muda wa hata week 2 ..

Ok .. Jana nilijitahidi sana kumpgia simu mida ya asubuhi Ili tujue ratiba itaishaje like kutoka out , and other stuffs Kwa siku ya valentine's, simu haikupokelewa , piga sana simu inaita tu , bila mafanikio.

Kapokea Leo asubuhi,, aseee eti ananiambia alikuwa kwenye msiba huko chanika , kwahyo simu aliisahau ndani , aligundua kasahau simu baada ya kufika msibani.

Nimeshangaa sana amenipa jibu jepesi sana, alafu anajibu Kwa shortcut sana ..

Yani sielewi ,
Valentine is not for everyone.
 
Kmmmk nilikuwa na demu hakupokea siku nzima, akaniambia hivo hivo amefiwa na bibi yake nilimpa pole tu, baada ya hapo nilijua hapa tiyali. Nilikuja kujua kumbe alikuwa kwa njemba yake uzuri mimi huwa sipendi kiukweli ukweli kmmmk
 
Mwambie shemeji pole kwa msiba. Kaka inabidi umpe japo laki mbili afute machozi

1000069561.jpg
 
Huyu mchumba siishi nae , kila mtu anaishi kwake, ila almost Huwa anakuja kwangu na anakaa Kwa muda wa hata week 2 ..

Ok .. Jana nilijitahidi sana kumpgia simu mida ya asubuhi Ili tujue ratiba itaishaje like kutoka out , and other stuffs Kwa siku ya valentine's, simu haikupokelewa , piga sana simu inaita tu , bila mafanikio.

Kapokea Leo asubuhi,, aseee eti ananiambia alikuwa kwenye msiba huko chanika , kwahyo simu aliisahau ndani , aligundua kasahau simu baada ya kufika msibani.

Nimeshangaa sana amenipa jibu jepesi sana, alafu anajibu Kwa shortcut sana ..

Yani sielewi ,
Kataa mapenzi ni ulaghai.
 
Back
Top Bottom