The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Ushapigwa ww.....sanukaHuyu mchumba siishi nae , kila mtu anaishi kwake, ila almost Huwa anakuja kwangu na anakaa Kwa muda wa hata week 2 ..
Ok .. Jana nilijitahidi sana kumpgia simu mida ya asubuhi Ili tujue ratiba itaishaje like kutoka out , and other stuffs Kwa siku ya valentine's, simu haikupokelewa , piga sana simu inaita tu , bila mafanikio.
Kapokea Leo asubuhi,, aseee eti ananiambia alikuwa kwenye msiba huko chanika , kwahyo simu aliisahau ndani , aligundua kasahau simu baada ya kufika msibani.
Nimeshangaa sana amenipa jibu jepesi sana, alafu anajibu Kwa shortcut sana ..
Yani sielewi ,
Huyo ameshadaka na mimbamkumbushe ameze P2 maana shughuli ya Jana haikua ya kitoto
Wahuni watakua wamem-bomoa kinomaHuyo ameshadaka na mimba
Kinoma noma wanaweza kuwa wamemla mpaka tigoWahuni watakua wamem-bomoa kinoma
Week 2 wakati unamla tu?anakaa Kwa muda wa hata week 2 ..
Noma sana!Toa hilo neno 'mpenzi wangu' kwenye kichwa cha uzi
Mtoe kwenye mipango, Anza kupiga Mashine tu, Hela akiomba, mpe Hela nusu ya aloomba na shariti la kumpa ni akuletee K .Huyu mchumba siishi nae , kila mtu anaishi kwake, ila almost Huwa anakuja kwangu na anakaa Kwa muda wa hata week 2 ..
Ok .. Jana nilijitahidi sana kumpgia simu mida ya asubuhi Ili tujue ratiba itaishaje like kutoka out , and other stuffs Kwa siku ya valentine's, simu haikupokelewa , piga sana simu inaita tu , bila mafanikio.
Kapokea Leo asubuhi,, aseee eti ananiambia alikuwa kwenye msiba huko chanika , kwahyo simu aliisahau ndani , aligundua kasahau simu baada ya kufika msibani.
Nimeshangaa sana amenipa jibu jepesi sana, alafu anajibu Kwa shortcut sana ..
Yani sielewi ,
NakaziaKuna haja ya kua na forum ya watoto na watu wazima
Huo ni upotezaji wa Muda, infact wanaume wajinga ndio Huwa mnafanya hayo mkijihisi ni Ugud guy huoooUkiwa kwenye mahusiano, jitahidi kuwa positive, ndio utajua ukweli.
Ungeanza kwanza kutafuta kujua kama ni kweli alifiwa na alifiwa na nani/ukaribu wake na yeye? Unaujua msiba wewe au unasikia tu kwa watu!
Lakini pia, kila kitu ukichukulia NEGATIVE hautaweza kuisha na hao viumbe; Biblia ilisha tuonya, tuishi nao kwa akili