katumia neno msiba kama codeHuo ni upotezaji wa Muda, infact wanaume wajinga ndio Huwa mnafanya hayo mkijihisi ni Ugud guy huooo
The moreee unavyotafuta kujua habari za mwanamke , ndivo utakavyozidi kuumia.
HUYO JANA KATOMBWAA THE WHOLE DAY.
Unaonekana una utoto ndio maana Demu anakuchukulia poa...jana kaenda kupigwa Pipe huyoHuyu mchumba siishi nae , kila mtu anaishi kwake, ila almost Huwa anakuja kwangu na anakaa Kwa muda wa hata week 2 ..
Ok .. Jana nilijitahidi sana kumpgia simu mida ya asubuhi Ili tujue ratiba itaishaje like kutoka out , and other stuffs Kwa siku ya valentine's, simu haikupokelewa , piga sana simu inaita tu , bila mafanikio.
Kapokea Leo asubuhi,, aseee eti ananiambia alikuwa kwenye msiba huko chanika , kwahyo simu aliisahau ndani , aligundua kasahau simu baada ya kufika msibani.
Nimeshangaa sana amenipa jibu jepesi sana, alafu anajibu Kwa shortcut sana ..
Yani sielewi ,
Na Mashoga kama wewwKuna haja ya kua na forum ya watoto na watu wazima
Kichwa panzi weweNa Mashoga kama weww
Valentine is not for everyone.Huyu mchumba siishi nae , kila mtu anaishi kwake, ila almost Huwa anakuja kwangu na anakaa Kwa muda wa hata week 2 ..
Ok .. Jana nilijitahidi sana kumpgia simu mida ya asubuhi Ili tujue ratiba itaishaje like kutoka out , and other stuffs Kwa siku ya valentine's, simu haikupokelewa , piga sana simu inaita tu , bila mafanikio.
Kapokea Leo asubuhi,, aseee eti ananiambia alikuwa kwenye msiba huko chanika , kwahyo simu aliisahau ndani , aligundua kasahau simu baada ya kufika msibani.
Nimeshangaa sana amenipa jibu jepesi sana, alafu anajibu Kwa shortcut sana ..
Yani sielewi ,
Kataa mapenzi ni ulaghai.Huyu mchumba siishi nae , kila mtu anaishi kwake, ila almost Huwa anakuja kwangu na anakaa Kwa muda wa hata week 2 ..