Fei Toto aitwa Taifa Stars katika kikosi cha wachezaji 31

Fei Toto aitwa Taifa Stars katika kikosi cha wachezaji 31

Huyo kocha kapangiwa tu wachezaji,kawaona saa ngapi??ila kwa mbegu waliompangia wamepatia acha ampumzishe zimbwe kidogo
 
Ila kapombe sio wa kuachwa hata Shabalala
Hapo kocha kachemka anyway ngoja tuone inaendaje maana timu yenyewe ni tia maji tia maji
 
Mabeki wa pembeni kajichanganya kwa physic ya kapombe na kibwana ni vitu viwili tofauti.

Pia uzoefu wa Simba na Vipers(Uganda)

Ngoja tuone, Sababu kocha mwenyewe hana mafanikio sana.
 
View attachment 2549109
Picha: Fesal Salum 'Fei Toto'

Kocha wa timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Adel Amrouche amemuita kikosini kiungo Feisal Salum katika michezo miwili ya kufuzu Afcon 2023 dhidi ya Uganda.

View attachment 2549119
Picha: Majina ya kikosi kilichoitwa

Katika kikosi hicho cha wachezaji 31 kocha Amrouche amewaacha mabeki wa pembeni wa Simba, Mohamed Husseini na Shomari Kapombe.
N jambo jema
 
kocha mpya alimuona wapi akicheza
Alimuona siku ile kwenye mechi ya NUSU fainali kule CCM Kirumba.
Alivutiwa na ule mshuti na jinsi Kalokonya alivyo uokoa. Ndio maana wote wawili amewaita kwenye timu ya taifa.
 
Back
Top Bottom