Fei Toto aitwa Taifa Stars katika kikosi cha wachezaji 31

Fei Toto aitwa Taifa Stars katika kikosi cha wachezaji 31

Simba mnampenda fei toto ila mkiskia ameitwa mnanuna
#Mbwa kabisa nyie
 
Kikosi kimeandaliwa na afisa utamaduni wa wizara 😅 😅 😅 Waulize mara ya mwisho wameangalia game za hao wachezaji wa nje ni lini hawawezi kukujibu. Acha wakapigwe na Vipers.
 
Huyu kocha cjui uwezo wake upoje
Unawezaje kumuita mchezaji kikosini ambaye hajacheza takriban mwezi mzima?
Hapo match fitness ipo wap?
Mbona tangu amekuja hajawahi kumuona faisal akicheza?
Mchezaji amekuwa na mgogoro na club yake hivyo saikolojia yake haipo sawa hivyo hawez kukupa perfomance yake 100% au kikosi amepangiwa????
 
Fei ni hazina yetu wanautopolo. Akicheza Taifa Stars tuko pamoja nae.
 
Back
Top Bottom