Fei Toto anusurika ajalini Fuoni

Fei Toto anusurika ajalini Fuoni

Shaffih Dauda ni bonge la fala yani

Nimeiona hii habari kaiandika kishambenga sana

Title ya Bandiko lake kasema "Feisal anusurika kifo"

Anafanya hivyo kwa ajili ya upumbavu wa kitoto tu kwa ajili ya ku catch attention watu wasome the whole story
Wewe na Shafih tabia yenu moja, ujuaji
 
Simba ndio timu iliyo thibitishwa na CAF pamoja na Tff Kwa ushirikina ndani na nje ya nchi. Inasemekana Caf wameiweka Simba kwenye angalizo hasa kwenye timu zinazo ongoza kwenye ushirikina.
Ivi ninavyo andika Kuna Wana Simba wanalinda uwanja Kwaajili ya mechi dhidi ya Raja.
Wanalinda ili mzee mpili na wenzie wasije kunya uwanjani
 
Wewe ni mbumbumbu uliyekamilika kwa 100%. Arogwe kwa ajili gani sasa! Yeye kama mchezaji halali wa Yanga, alitakiwa kuwepo kambini na wenzake! Na siyo alikopata ajali.
Halali kutoka wapi mbona hmko nae mpaka sasa wew mbwa wa luc eymael
 
Mchezaji wa Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania Feisal Salum Abdallah (Fei toto) amepata ajali mchana wa leo Fuoni, Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar.

Ajali hiyo imehusisha Gari yake aina ya Harrier nyeupe yenye namba za usajili Z 160 MW huku dereva akiwa ni mwenyewe Feitoto akitokea Fuoni kituo cha zamani akielekea Mjini ndipo ilipogongana na Bodaboda yenye namba za usajili Z 423 KL.

Katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha wala kuumia zaidi ya Gari kuharibika mbele na Bodaboda imeharibika ambapo mpaka sasa Vyombo hivyo vipo kituo cha Polisi Fuoni.

"Ni kweli imetoka ajali hapa Fuoni Gari aina ya Harrier imegongana na Bodaboda, Gari ni ya yule bwana mdogo mchezaji wa Yanga Fei, lakini ni ajali ndogo tu hakuna aliyeumia"-Mkuu wa Kituo Cha Polisi Fuoni.
Sasa hapo aliyenusurika ni fei au bodaboda? Umaarufu huu
 
Hiyo si dalili njema. Dogo anapaswa kurudi kambini haraka . Hizo ni salam tu za wazee I think wamemkasirikia. Wazee wakivua kofia na kuweka juu ya Meza Huwa ni balaa!

Siku moja kabla Yanga hajapigwa goli 5 na Simba niliangalia taarifa ya habari ITV usiku wa kuamkia mechi ya watani nadhani ilikuwa 2012. Basi Mzee Akilimali alikuwa amechukizwa na mambo ya Yanga Kampuni akavua kofia na kuiweka juu ya Meza akasema tutaona nani Mkubwa Yanga , Kesho yake Yanga ikapigwa kama Ngoma na Simba, goli 5 tangu siku hiyo niliheshimu sana wazee wa Yanga. Hawapaswi kukasirika! Eng Hersi anapaswa kuwa makini na wazee!! Basi Simba that day wakajiona bonge la timu kupiga goli 5 kumbe Yanga ilipigwa kutokana na mgogoro klabuni na laana za Mzee Akilimali kwa sababu kiuhalisia Simba hawana uwezo wa kuipiga Yanga bila kuwepo mgogoro klabuni na hawataweza kufanya hivyo Tena milele! Walio karibu na Mzee Akilimali wamuulize Hilo tukio atakumbuka!
 
Ndo maana mlibandikwa huko Tunisia kwa baridi kali kisa mnaogopa kuota moto mtaambiwa wachawi...African minds yani hao wa south wenyewe wanga tuu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu kwa iyo ile siku mlikua mnaota moto? Yaani mlikua mnasikia baridi
 
Yanga hawana tofauti na Dr. Mwaka. Wakiachwa hawataki kuachika.
 
Fei ni mashuhuri ndio maana utopolo mpaka leo bado wanapiga simu za kubembeleza, hata kama akipata ajali ndogo, lazima iwe habari, itatofautiana vichwa vya habari tu.
Utakuwa demu wake naona unavyoshobokea Mambo yake... Unachezea kipulii!!.
 
Back
Top Bottom