Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Mawazo ya kipumbavuuuu!Wazee wa uto wako kazini kumtoa kafara mtoto wa watu ili washinde dhidi ya tp mazembe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawazo ya kipumbavuuuu!Wazee wa uto wako kazini kumtoa kafara mtoto wa watu ili washinde dhidi ya tp mazembe
Mafisango alirogwa?Yanga kwa uchawi hakuna team Africa mashariki inawafikia ni vile tu ajali kazini.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Wewe na Shafih tabia yenu moja, ujuajiShaffih Dauda ni bonge la fala yani
Nimeiona hii habari kaiandika kishambenga sana
Title ya Bandiko lake kasema "Feisal anusurika kifo"
Anafanya hivyo kwa ajili ya upumbavu wa kitoto tu kwa ajili ya ku catch attention watu wasome the whole story
Ujuaji kwenye kipi?Wewe na Shafih tabia yenu moja, ujuaji
Wanalinda ili mzee mpili na wenzie wasije kunya uwanjaniSimba ndio timu iliyo thibitishwa na CAF pamoja na Tff Kwa ushirikina ndani na nje ya nchi. Inasemekana Caf wameiweka Simba kwenye angalizo hasa kwenye timu zinazo ongoza kwenye ushirikina.
Ivi ninavyo andika Kuna Wana Simba wanalinda uwanja Kwaajili ya mechi dhidi ya Raja.
Halali kutoka wapi mbona hmko nae mpaka sasa wew mbwa wa luc eymaelWewe ni mbumbumbu uliyekamilika kwa 100%. Arogwe kwa ajili gani sasa! Yeye kama mchezaji halali wa Yanga, alitakiwa kuwepo kambini na wenzake! Na siyo alikopata ajali.
Vipi nyie kulilia uwanja wa mkapa ilhali mechi yenu bado mnataka mkafanye nini mle?Ndiyo akili zenu hizi! Mnaamini kila kitu ni ushirikina tu. Mlipigwa mpaka faini ya dola elfu 10 na CAF mwaka jana, kwa sababu tu ya imani za kishirikina!!
UtopoloAkina nani?
Halafu mpumbavuuuu ukakuotiMawazo ya kipumbavuuuu!
Sasa hapo aliyenusurika ni fei au bodaboda? Umaarufu huuMchezaji wa Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania Feisal Salum Abdallah (Fei toto) amepata ajali mchana wa leo Fuoni, Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar.
Ajali hiyo imehusisha Gari yake aina ya Harrier nyeupe yenye namba za usajili Z 160 MW huku dereva akiwa ni mwenyewe Feitoto akitokea Fuoni kituo cha zamani akielekea Mjini ndipo ilipogongana na Bodaboda yenye namba za usajili Z 423 KL.
Katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha wala kuumia zaidi ya Gari kuharibika mbele na Bodaboda imeharibika ambapo mpaka sasa Vyombo hivyo vipo kituo cha Polisi Fuoni.
"Ni kweli imetoka ajali hapa Fuoni Gari aina ya Harrier imegongana na Bodaboda, Gari ni ya yule bwana mdogo mchezaji wa Yanga Fei, lakini ni ajali ndogo tu hakuna aliyeumia"-Mkuu wa Kituo Cha Polisi Fuoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo maana mlibandikwa huko Tunisia kwa baridi kali kisa mnaogopa kuota moto mtaambiwa wachawi...African minds yani hao wa south wenyewe wanga tuu...
Utakuwa demu wake naona unavyoshobokea Mambo yake... Unachezea kipulii!!.Fei ni mashuhuri ndio maana utopolo mpaka leo bado wanapiga simu za kubembeleza, hata kama akipata ajali ndogo, lazima iwe habari, itatofautiana vichwa vya habari tu.