Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Fei Toto, mchezaji maarufu wa Azam na Taifa Stars, amewaambia baadhi ya viongozi wa klabu hiyo kwamba atasaini mkataba mpya endapo wataweza kumlipa Tsh 70 milioni kwa mwezi. Hata hivyo, kiasi hicho kinaonekana kuwa kigumu kwa klabu ya Azam.
Iwapo klabu hiyo itakubali kulipa kiasi hicho, Feisal Salum atakuwa mchezaji anayelipwa kiasi kikubwa zaidi katika ligi Kuu ya Tanzania Bara.
Pia, soma:
==> Biashara ya Fei Toto na Azam ilikuwa kete ngumu kwa Yanga
==> Mwigulu: Feisal ukishatoka Simba uje Singida
==> Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC.
==> Azam FC yamtambulisha FEI TOTO, asaini mkataba wa miaka mitatu, afafanua fedha alizochangiwa na wadau