Tetesi: Fei Toto aweka Masharti magumu kwa Azam, anataka Tsh Milioni 70 kila Mwezi ili asaini Mkataba Mpya

Tetesi:
Unaambiwa GSM anamkubali sana dogo. Katia mzigo wa haja kubwa kumrudisha upande wa pili.

Lakini pia unaambiwa bwana mdogo ana mapenzi ya dhati na wananchi ila ni zile tu hasira za vijana

Ngoja tuone, ila bwana mdogo ni mtu na nusu 👀

Wananchi wanamkubali sana, unaambiwa wazee wa kizenji wanamsihi sana dogo arudi kundini
 
Watetezi wake mko wapi mlibebe na hili?

Kashindwa kuisaidia timu kuvuka hatua ya kwanza tu ya mtoano ligi ya mabingwa lakini ameshaanza usumbufu wa mshahara.
Anahangaika mno mwishowe atajikuta anaangukia Pamba FC 😂😂😂😚😂😂😂😂😂
 
Fei Toto, mchezaji maarufu wa Azam na Taifa Stars, amewaambia baadhi ya viongozi wa klabu hiyo kwamba atasaini mkataba mpya endapo wataweza kumlipa Tsh 70 milioni kwa mwezi. Hata hivyo, kiasi hicho kinaonekana kuwa kigumu kwa klabu ya Azam.
Iwapo klabu hiyo itakubali kulipa kiasi hicho, Feisal Salum atakuwa mchezaji anayelipwa kiasi kikubwa zaidi katika ligi Kuu ya Tanzania Bara.
Pia, soma:
==> Biashara ya Fei Toto na Azam ilikuwa kete ngumu kwa Yanga
==> Mwigulu: Feisal ukishatoka Simba uje Singida
==> Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC.
==> Azam FC yamtambulisha FEI TOTO, asaini mkataba wa miaka mitatu, afafanua fedha alizochangiwa na wadau
Huo ni uongo.....mchezaji bado ana mkataba miaka miwili........Uongo uongo uongo :ABDULpls:
 
Fei Toto, mchezaji maarufu wa Azam na Taifa Stars, amewaambia baadhi ya viongozi wa klabu hiyo kwamba atasaini mkataba mpya endapo wataweza kumlipa Tsh 70 milioni kwa mwezi. Hata hivyo, kiasi hicho kinaonekana kuwa kigumu kwa klabu ya Azam.
Iwapo klabu hiyo itakubali kulipa kiasi hicho, Feisal Salum atakuwa mchezaji anayelipwa kiasi kikubwa zaidi katika ligi Kuu ya Tanzania Bara.
Pia, soma:
==> Biashara ya Fei Toto na Azam ilikuwa kete ngumu kwa Yanga
==> Mwigulu: Feisal ukishatoka Simba uje Singida
==> Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC.
==> Azam FC yamtambulisha FEI TOTO, asaini mkataba wa miaka mitatu, afafanua fedha alizochangiwa na wadau
Lengo ni aende Yanga hakuna jipya au anaenda Simba?
 
Kwan anacheza peke yake... hilo haliondoi thamani yake. Pale man u kuna wachezaji wanalipwa pesa ndefu sana na timu haipo kwenye michuano yoyote ile ya kimataifa. Kama ni kweli ni halali yake. Wachezaji wanarisky kubwa sana. Leo anathamani hii, kesho anaporomoka hadi Chini.
New member unapata wapi ujasiri wa kumjibu member mwandamizi Nifah bila ruhusa, ulipaswa kumuomba kwanza kujibu comment yake angekuruhusu ndio ungeandika uharo wako hapo
 
Pale man u kuna wachezaji wanalipwa pesa ndefu sana na timu haipo kwenye michuano yoyote ile ya kimataifa.
Nimeona niishie kuku-quote TU maana sijajua kwa upande wako Europa League ni michuano ya kimataifa au ni michuano ya ndani ya England.
 
Fei Toto, mchezaji maarufu wa Azam na Taifa Stars, amewaambia baadhi ya viongozi wa klabu hiyo kwamba atasaini mkataba mpya endapo wataweza kumlipa Tsh 70 milioni kwa mwezi. Hata hivyo, kiasi hicho kinaonekana kuwa kigumu kwa klabu ya Azam.
Iwapo klabu hiyo itakubali kulipa kiasi hicho, Feisal Salum atakuwa mchezaji anayelipwa kiasi kikubwa zaidi katika ligi Kuu ya Tanzania Bara.
Pia, soma:
==> Biashara ya Fei Toto na Azam ilikuwa kete ngumu kwa Yanga
==> Mwigulu: Feisal ukishatoka Simba uje Singida
==> Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC.
==> Azam FC yamtambulisha FEI TOTO, asaini mkataba wa miaka mitatu, afafanua fedha alizochangiwa na wadau
Ta

Mchukue Feisal uzijue tabia zake halisi.
 
Azam walianzisha huu mchezo sasa hivi unawagharimu. Simba na Yanga ni kama Real Madrid na Barcelona za Tanzania. Kushindana nazo ni ngumu kwa Nchi hii. Ilianza kwa Kipre, sasa hivi Sillah na Feisali.
 
Kwani mimi sijui kwamba hachezi peke yake? Ongezeko la mshahara linatakiwa liendane na mchango wako katika taasisi, work done zero kelele kibao.
Mahaba juu ya yanga yanakumaliza.. kama ni mwanamichezo huwezi ongea hilo.. endelea kuumia mwache kijana apambanie kombe lake
 
Fei Toto, mchezaji maarufu wa Azam na Taifa Stars, amewaambia baadhi ya viongozi wa klabu hiyo kwamba atasaini mkataba mpya endapo wataweza kumlipa Tsh 70 milioni kwa mwezi. Hata hivyo, kiasi hicho kinaonekana kuwa kigumu kwa klabu ya Azam.
Iwapo klabu hiyo itakubali kulipa kiasi hicho, Feisal Salum atakuwa mchezaji anayelipwa kiasi kikubwa zaidi katika ligi Kuu ya Tanzania Bara.
Pia, soma:
==> Biashara ya Fei Toto na Azam ilikuwa kete ngumu kwa Yanga
==> Mwigulu: Feisal ukishatoka Simba uje Singida
==> Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC.
==> Azam FC yamtambulisha FEI TOTO, asaini mkataba wa miaka mitatu, afafanua fedha alizochangiwa na wadau
Mkataba mbona bado mbichi?
 
Hawa azam wangekuwa na connection na mimi, ningewapa mchezaji mmoja tu, bonge 1 la player, haluna cha fei wala baba yake fei.
Fei ni mchezaji mzuri ila kwa hapo azam hawana namna.
Waje niwapr player mwenye mixture ya akaminko, fei na uCHAMA/uPACOME ndani yake.
 
Fei Toto, mchezaji maarufu wa Azam na Taifa Stars, amewaambia baadhi ya viongozi wa klabu hiyo kwamba atasaini mkataba mpya endapo wataweza kumlipa Tsh 70 milioni kwa mwezi. Hata hivyo, kiasi hicho kinaonekana kuwa kigumu kwa klabu ya Azam.
Iwapo klabu hiyo itakubali kulipa kiasi hicho, Feisal Salum atakuwa mchezaji anayelipwa kiasi kikubwa zaidi katika ligi Kuu ya Tanzania Bara.
Pia, soma:
==> Biashara ya Fei Toto na Azam ilikuwa kete ngumu kwa Yanga
==> Mwigulu: Feisal ukishatoka Simba uje Singida
==> Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC.
==> Azam FC yamtambulisha FEI TOTO, asaini mkataba wa miaka mitatu, afafanua fedha alizochangiwa na wadau

Elimu ni muhimu sana
 
Watetezi wake mko wapi mlibebe na hili?

Kashindwa kuisaidia timu kuvuka hatua ya kwanza tu ya mtoano ligi ya mabingwa lakini ameshaanza usumbufu wa mshahara.
Kwamba anacheza peke yake uwanjani? Nyinyi huko utopoloni timu ikivuka sifa kwa rais wenu na si wachezaji,

Endeleeni na huo utamaduni wenu msipangie watu
 
Back
Top Bottom