Oya Tusepe
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 265
- 870
Futa hii kauliWananchi wanamkubali sana
Anahangaika mno mwishowe atajikuta anaangukia Pamba FC 😂😂😂😚😂😂😂😂😂Watetezi wake mko wapi mlibebe na hili?
Kashindwa kuisaidia timu kuvuka hatua ya kwanza tu ya mtoano ligi ya mabingwa lakini ameshaanza usumbufu wa mshahara.
Huo ni uongo.....mchezaji bado ana mkataba miaka miwili........Uongo uongo uongoFei Toto, mchezaji maarufu wa Azam na Taifa Stars, amewaambia baadhi ya viongozi wa klabu hiyo kwamba atasaini mkataba mpya endapo wataweza kumlipa Tsh 70 milioni kwa mwezi. Hata hivyo, kiasi hicho kinaonekana kuwa kigumu kwa klabu ya Azam.
Iwapo klabu hiyo itakubali kulipa kiasi hicho, Feisal Salum atakuwa mchezaji anayelipwa kiasi kikubwa zaidi katika ligi Kuu ya Tanzania Bara.
Pia, soma:
==> Biashara ya Fei Toto na Azam ilikuwa kete ngumu kwa Yanga
==> Mwigulu: Feisal ukishatoka Simba uje Singida
==> Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC.
==> Azam FC yamtambulisha FEI TOTO, asaini mkataba wa miaka mitatu, afafanua fedha alizochangiwa na wadau
Lengo ni aende Yanga hakuna jipya au anaenda Simba?Fei Toto, mchezaji maarufu wa Azam na Taifa Stars, amewaambia baadhi ya viongozi wa klabu hiyo kwamba atasaini mkataba mpya endapo wataweza kumlipa Tsh 70 milioni kwa mwezi. Hata hivyo, kiasi hicho kinaonekana kuwa kigumu kwa klabu ya Azam.
Iwapo klabu hiyo itakubali kulipa kiasi hicho, Feisal Salum atakuwa mchezaji anayelipwa kiasi kikubwa zaidi katika ligi Kuu ya Tanzania Bara.
Pia, soma:
==> Biashara ya Fei Toto na Azam ilikuwa kete ngumu kwa Yanga
==> Mwigulu: Feisal ukishatoka Simba uje Singida
==> Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC.
==> Azam FC yamtambulisha FEI TOTO, asaini mkataba wa miaka mitatu, afafanua fedha alizochangiwa na wadau
New member unapata wapi ujasiri wa kumjibu member mwandamizi Nifah bila ruhusa, ulipaswa kumuomba kwanza kujibu comment yake angekuruhusu ndio ungeandika uharo wako hapoKwan anacheza peke yake... hilo haliondoi thamani yake. Pale man u kuna wachezaji wanalipwa pesa ndefu sana na timu haipo kwenye michuano yoyote ile ya kimataifa. Kama ni kweli ni halali yake. Wachezaji wanarisky kubwa sana. Leo anathamani hii, kesho anaporomoka hadi Chini.
Nimeona niishie kuku-quote TU maana sijajua kwa upande wako Europa League ni michuano ya kimataifa au ni michuano ya ndani ya England.Pale man u kuna wachezaji wanalipwa pesa ndefu sana na timu haipo kwenye michuano yoyote ile ya kimataifa.
YEye nani asijibiweNew member unapata wapi ujasiri wa kumjibu member mwandamizi Nifah bila ruhusa, ulipaswa kumuomba kwanza kujibu comment yake angekuruhusu ndio ungeandika uharo wako hapo
TaFei Toto, mchezaji maarufu wa Azam na Taifa Stars, amewaambia baadhi ya viongozi wa klabu hiyo kwamba atasaini mkataba mpya endapo wataweza kumlipa Tsh 70 milioni kwa mwezi. Hata hivyo, kiasi hicho kinaonekana kuwa kigumu kwa klabu ya Azam.
Iwapo klabu hiyo itakubali kulipa kiasi hicho, Feisal Salum atakuwa mchezaji anayelipwa kiasi kikubwa zaidi katika ligi Kuu ya Tanzania Bara.
Pia, soma:
==> Biashara ya Fei Toto na Azam ilikuwa kete ngumu kwa Yanga
==> Mwigulu: Feisal ukishatoka Simba uje Singida
==> Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC.
==> Azam FC yamtambulisha FEI TOTO, asaini mkataba wa miaka mitatu, afafanua fedha alizochangiwa na wadau
Mchukue Feisal uzijue tabia zake halisi.Fei Toto, mchezaji maarufu wa Azam na Taifa Stars, amewaambia baadhi ya viongozi wa klabu hiyo kwamba atasaini mkataba mpya endapo wataweza kumlipa Tsh 70 milioni kwa mwezi. Hata hivyo, kiasi hicho kinaonekana kuwa kigumu kwa klabu ya Azam.
Iwapo klabu hiyo itakubali kulipa kiasi hicho, Feisal Salum atakuwa mchezaji anayelipwa kiasi kikubwa zaidi katika ligi Kuu ya Tanzania Bara.
Pia, soma:
==> Biashara ya Fei Toto na Azam ilikuwa kete ngumu kwa Yanga
==> Mwigulu: Feisal ukishatoka Simba uje Singida
==> Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC.
==> Azam FC yamtambulisha FEI TOTO, asaini mkataba wa miaka mitatu, afafanua fedha alizochangiwa na wadau
Na ukwajuKama kule alisema analishwa sukari huku atasema analishwa chunvi
Azam walianzisha huu mchezo sasa hivi unawagharimu. Simba na Yanga ni kama Real Madrid na Barcelona za Tanzania. Kushindana nazo ni ngumu kwa Nchi hii. Ilianza kwa Kipre, sasa hivi Sillah na Feisali.Fei Toto, mchezaji maarufu wa Azam na Taifa Stars, amewaambia baadhi ya viongozi wa klabu hiyo kwamba atasaini mkataba mpya endapo wataweza kumlipa Tsh 70 milioni kwa mwezi. Hata hivyo, kiasi hicho kinaonekana kuwa kigumu kwa klabu ya Azam.
Iwapo klabu hiyo itakubali kulipa kiasi hicho, Feisal Salum atakuwa mchezaji anayelipwa kiasi kikubwa zaidi katika ligi Kuu ya Tanzania Bara.
Pia, soma:
==> Biashara ya Fei Toto na Azam ilikuwa kete ngumu kwa Yanga
==> Mwigulu: Feisal ukishatoka Simba uje Singida
==> Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC.
==> Azam FC yamtambulisha FEI TOTO, asaini mkataba wa miaka mitatu, afafanua fedha alizochangiwa na wadau
Mahaba juu ya yanga yanakumaliza.. kama ni mwanamichezo huwezi ongea hilo.. endelea kuumia mwache kijana apambanie kombe lakeKwani mimi sijui kwamba hachezi peke yake? Ongezeko la mshahara linatakiwa liendane na mchango wako katika taasisi, work done zero kelele kibao.
Kwa hadhi ya man u na Europe league we unaonaje..Nimeona niishie kuku-quote TU maana sijajua kwa upande wako Europa League ni michuano ya kimataifa au ni michuano ya ndani ya England.
Mkataba mbona bado mbichi?Fei Toto, mchezaji maarufu wa Azam na Taifa Stars, amewaambia baadhi ya viongozi wa klabu hiyo kwamba atasaini mkataba mpya endapo wataweza kumlipa Tsh 70 milioni kwa mwezi. Hata hivyo, kiasi hicho kinaonekana kuwa kigumu kwa klabu ya Azam.
Iwapo klabu hiyo itakubali kulipa kiasi hicho, Feisal Salum atakuwa mchezaji anayelipwa kiasi kikubwa zaidi katika ligi Kuu ya Tanzania Bara.
Pia, soma:
==> Biashara ya Fei Toto na Azam ilikuwa kete ngumu kwa Yanga
==> Mwigulu: Feisal ukishatoka Simba uje Singida
==> Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC.
==> Azam FC yamtambulisha FEI TOTO, asaini mkataba wa miaka mitatu, afafanua fedha alizochangiwa na wadau
Fei Toto, mchezaji maarufu wa Azam na Taifa Stars, amewaambia baadhi ya viongozi wa klabu hiyo kwamba atasaini mkataba mpya endapo wataweza kumlipa Tsh 70 milioni kwa mwezi. Hata hivyo, kiasi hicho kinaonekana kuwa kigumu kwa klabu ya Azam.
Iwapo klabu hiyo itakubali kulipa kiasi hicho, Feisal Salum atakuwa mchezaji anayelipwa kiasi kikubwa zaidi katika ligi Kuu ya Tanzania Bara.
Pia, soma:
==> Biashara ya Fei Toto na Azam ilikuwa kete ngumu kwa Yanga
==> Mwigulu: Feisal ukishatoka Simba uje Singida
==> Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC.
==> Azam FC yamtambulisha FEI TOTO, asaini mkataba wa miaka mitatu, afafanua fedha alizochangiwa na wadau
Kwamba anacheza peke yake uwanjani? Nyinyi huko utopoloni timu ikivuka sifa kwa rais wenu na si wachezaji,Watetezi wake mko wapi mlibebe na hili?