marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
Feisal Salim 'Feitoto' ... Kwa takwimu Msimu huu pekee ameshapata kadi 15 za njano. .
.
Aliukosa mchezo wa ugenini dhidi ya Mtibwa kwa kosa la kua na kadi 3 za njano mfululizo. .
.
Mchezo aliorejea dhidi ya Azam, alipata kadi, mchezo uliofata tena dhidi ya Prison, amepata tena kadi ya njano, hivyo kama atapata kadi tena mchezo ujao, atakosa mchezo mmoja. .
.
Nini shida kwa FeiToto? Wengi wamekua wakijiuliza hili.
Binafsi nafikiri majukumu mapya aliyonayo kwenye mbinu za Mwinyi Zahera yamekua yakiinufaisha Yanga kwa maana ya kiuchezaji lakini yamemuathiri sana Fei. Kivipi?
Fei anacheza kwenye role ya kiungo wa Ulinzi akiwa na jukumu la kuichezesha timu kutokea pale. Kitaalam anaitwa deep lying playmaker. Kule Italia anafahamika kama "Regista".
.
.
Licha ya uwezo mkubwa wa kupiga pasi fupi na ndefu, kontroo ya mpira, kiungo wa eneo hilo anatakiwa pia awe na uwezo wa kupokonya mipira.
Ni kama alivyokua Xabi Alonso. Ni kama alivyo Marco Verrati.
.
.
Feitoto amefanikiwa kuichezesha timu lakini hana sifa ya mwisho inayohitajika kwenye eneo hilo. Kupokonya mpira bila kucheza rafu. Hawezi kufanya Clean tackle. Hajazoea kwenye makuzi yake kazi hiyo...
Unadhani Zahera afanye nini kumnusuru Fei toto na kadi za njano.....
www.instagram.com

Soka Football Central on Instagram: “Feisal Salim 'Feitoto' ... Kwa takwimu Msimu huu pekee ameshapata kadi 15 za njano. . . Aliukosa mchezo wa ugenini dhidi ya Mtibwa kwa kosa…”
8 Likes, 0 Comments - Soka Football Central (@soka_app) on Instagram: “Feisal Salim 'Feitoto' ... Kwa takwimu Msimu huu pekee ameshapata kadi 15 za njano. . . Aliukosa…”