Fei Toto to Azam deal done? Shaffih Dauda kaandika RASMI dili limekamilika

Naona sawa tu, acha mtoto wa watu avune pesa. Ila kimpira atakuwa kama Bocco tu, alivyokuwa Azam. Kiwango kitashuka, akimaliza huo mkataba ataenda kwa mikia ama kurudi tena Yanga shuguli itakuwa ishaisha tena... niko hapa nasubiria X mas 🌲
 
Kama kaenda Azam FC ni sawa football ni maisha amecheza Yanga kwa mapenzi yake yote alichokifanya kinatosha aliondoka Hazard Chelsea, Ronaldo Manchester United, Lewandosky Dortmund and life goes on sina kinyongo namtakia maisha mema kazi iendelee
 
Feisal alikuwa anastahili kuchukua pesa ndefu sawa na Mayele lakini usikute alikiwa anazidiwa hadi na Lomalisa

Halafu walivyo wajinga nasikia walipanga kuhamasisha mgomo kwa mashabiki kususia bidhaa za Azam endapo Azam itamnunua Feisal

Kama unaona una mchezaji ambaye anathamani kwako basi mpe stahiki zile ambazo zinaendana na kile anacho ku offer uwanjani na sio ule ushabiki wa kusifiana tu "Feidinho mzee wa no look pass" wakati mfukoni hali tete
 
Kama kaenda Azam FC ni sawa football ni maisha amecheza Yanga kwa mapenzi yake yote alichokifanya kinatosha aliondoka Hazard Chelsea, Ronaldo Manchester United, Lewandosky Dortmund and life goes on sina kinyongo namtakia maisha mema kazi iendelee
Yanga wamefanya makosa kumuacha aende kwa kutokubali kumuongezea pesa yake

Value ya Feisal pale Yanga ni kubwa sana lakini kitendo cha kutompambania kumuongezea mshahara wake ni kosa ambalo mtakuja kujirekebisha kwa wachezaji wengine
 
Naona sawa tu, acha mtoto wa watu avune pesa. Ila kimpira atakuwa kama Bocco tu, alivyokuwa Azam. Kiwango kitashuka, akimaliza huo mkataba ataenda kwa mikia ama kurudi tena Yanga shuguli itakuwa ishaisha tena... niko hapa nasubiria X mas 🌲
Unakubali huku unaumia na kumtakia mabaya. Roho za kimasikini tooooka moyoni kwa huyu dada
 
Unakubali huku unaumia na kumtakia mabaya. Roho za kimasikini tooooka moyoni kwa huyu dada
Nikupe pole, sijawahi kuwa na roho ya kimasikini na sitakuwa nayo kamwe.
Tatizo la mikia hamsomi mkaelewa, nimesema kabisa mwacheni akavune pesa, sasa hapa roho ya kimasikini imetokea wapi?
Kiwango cha mpira lazima kishuke, kwanini tuongee? Tuombe uzima baada ya miaka 3 je atakuwa huyu aliyekuwa Yanga?
Wenye roho za kitajiri, changieni mpate basi. Ile daladala inawaumiza wachezaji Dar to Kaitaba Kagera walifika wako hoiiii
 
Kwa nini unamtakia kiwango kishuke. Acha chuki
 
Naona sawa tu, acha mtoto wa watu avune pesa. Ila kimpira atakuwa kama Bocco tu, alivyokuwa Azam. Kiwango kitashuka, akimaliza huo mkataba ataenda kwa mikia ama kurudi tena Yanga shuguli itakuwa ishaisha tena... niko hapa nasubiria X mas [emoji268]
Ila ndani ya hiyo miaka 3 anakuwa na uhakika wa kupata 300,000,000

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini unamtakia kiwango kisheke. Acha chuki
Ndiyo maana mkaitwa mikia, Bocco alipoenda Azam kiwango chake kilipanda? Ukiwa huna wachezaji sawa na wewe wa kushindana nao, kwenye timu kupata namba, unajikuta kiwango chako kinashuka tu.
Akiwa Yanga anajua lazima aonyeshe kitu kupata namba lah bench litamuhusu.
Azam anaenda kuwa ndiyo star wao, ajibidishe, asijibidishe ana namba yake tayari.
 
Ila ndani ya hiyo miaka 3 anakuwa na uhakika wa kupata 300,000,000

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sikatai ndiyo nimesema tuache akavune pesa. Wachezaji wetu wa kibongo tunawajua au wasanii wetu, kwenye swala la pesa huwa wanatumia na zinaisha hata mtu huelewi ilikuaje. Idris alipata zaidi ya hizo tena kwa mkupuo, achana na huyu kwa miaka 3.

Alipokuwa Yanga tu scandal za wadada sijui huyu kampa mimba hamtaki, huyu vile pesa zao zinaishia kwa starehe. All in all kama ni kweli tunamtakia BARAKA tele, bado mdogo ana kitu mbele yake.
 
Angalia maisha yako sio unazi. Haiwezekani kuna wachezaji wanatoka nje wanalipwa vizuri halafu wanakaa bench. Wewe unajituma unapewa pesa ya mboga. Sepa dogo
Lini uliwahi kuona mshahara wa mchezaji yeyote nchi hii? Nyie ndio mnadanganyana kuwa CHAMA analipwa mili 15 per month
 
Unalaumu bure viongozi wachezaji wore hao Wana watu wao wanaosimamia mikataba tofauti ya wageni na wazawa wageni Wana mameneja wanaojua kazi yao
 
Kweli nyinyi utopolo ni MBWA sasa BOCCO alienda Azam akitokea timu gani?
 
Inaonekana Yanga mwenzangu mpira huufahamu. Unashabikia tu. Haya tuambie. Bocco alienda Azam akitokea wapi na kiwango chake kikashuka?😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…