Fei Toto to Azam deal done? Shaffih Dauda kaandika RASMI dili limekamilika

Fact kubwa sana hii, binafsi mimi sina Usimba na Uyanga wala soka la Bongo silifuatilii kabisa. Ila kwa wachezaji ninao wakubali hapa nyumbani ni Aishi Manula na Fei Toto. Huyu Fei kwa alipo fikia hakupaswa kucheza kwa ligi ya nyumbani tena, alipaswa kutoka. Hapo nyuma nilisikia kuna klabu kutoka Uarabuni huko ilikuwa inahitaji huduma yake sijajua nini kilitokea. Wakala wa Fei inaonekana ni kilaza sana
 
HAta nikiwa siufahamu wewe inakuounguzia nini? Nachojua Bocco mpira hakuanzia Azam. Alianza Kijitonyama FC na something Cosma kama sijakosea jina
🤣🤣🤣🤣 So alipoenda Azam kiwango chake kikashuka? Mwanayanga mwenzangu uliza watu wenye kujua mpira wakusaidie. Bocco mpira haujawahi isha. Umri tu. Muulize jamaa vizuri atakueleza then uje u comment. Na usikasirike wewe ni mwenzangu
 
Lini uliwahi kuona mshahara wa mchezaji yeyote nchi hii? Nyie ndio mnadanganyana kuwa CHAMA analipwa mili 15 per month
Kama ww hujui ni swala lako. Hao wachezaji hawana sayari yao, wana familia, ndugu jamaa na marafiki. Chama anakula 12 per month bila kodi.
 
Jose Luis, Chama mbona mliwaruhusu waende? nyie ndio baadae hua mnakuja kusema Yanga inaua ndoto za wachezaji wakitakiwa na timu inawang'ang'ania na kama ni rahisi unavyo sema Manzoki huyo hapo kamchukueni
Na huo mgomo wa kugomea bidhaa unatokana na nn kama sio chuki kwa wachezaji wanaotaka kuondoka yanga
 
Niacheeeee changeni basi mnunue basi mtani
Ukiwaona utopolo wanavyoshupalia ishu ya basi la simba utafikiri wanamiliki hata kiwanja cha mazoezi.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Azam mshahara utakua mkubwa na posho ni nyingi sio kama hile timu
 
Acheni roho mbaya nyie,hivi chukulia kama wewe ndio fei ungekataa kuhama?????

Yanga wanamlipa 4m
Azam watamlipa 16m

Wewe ungekataa ,acheni uchawi......
 
Na huo mgomo wa kugomea bidhaa unatokana na nn kama sio chuki kwa wachezaji wanaotaka kuondoka yanga
Hayo ni maneno yenu makolo umesikia wapi habari za kugomea bidhaa za Azam? Azam media ni wadhamini wetu tuna anzaje mgogoro nao? Yanga ya sasa hivi ipo extra miles away from you
 
Huyo Gomez mtamlipa 5m , kulikuwa na ubaya gani kupandisha tu mshahara wa Feitoto uhakisi kazi anayoifanya, au kwa kuwa ni Mtanzania mwenzetu asistahili kulipwa vizuri?
Hizi tabia za kudharau wazawa Hua zinanikwaza sana
Yaani kumpa mtz mwenzao million 10 wanaona dhambi ila mgeni wanampa zaidi ya hizo, tupo kama mafala
Bora aende kwenye malisho ya maana, kazi ya mpira ni ya muda mfupi sana, ni bahati kua kwenye peak kwa miaka 10,asipozichanga saa hv atabaki kama Ngasa
 
Acheni roho mbaya nyie,hivi chukulia kama wewe ndio fei ungekataa kuhama?????

Yanga wanamlipa 4m
Azam watamlipa 16m

Wewe ungekataa ,acheni uchawi......
Hiyo roho mbaya na uchawi viko wapi katika hayo maelezo yangu?
 
Maelezo yako ya ambatane na attachments za salary slip , bank statements, any reliable source au mkataba vinginevyo hizo ni porojo za kijiweni
Mkataba unasema sheria ya kuuuvunja inatakiwa mchezaji alipe pesa ya mkataba ambayo ni 100M pamoja na mshahara wake wa miezi mitatu

Sasa Feisal inasemekana tayari katoa 112M

Piga mwenyewe hesabu hiyo 12M imekujaje hapo wakati contract ilikuwa ni 100M

Chukua 4x3 afu jibu baki nalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…