Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
MBWA/ DOGII/ KALBU ni jina walilopewa wala mihogo na prf LUC EYMAEL wala sio tusi umesikia we MBWA.Matusi ya nini sasa, pumbavu wewe
Wewe unae jua leta evidence hapaHuna unalolijua ww
Weka attachment hapa tuone huo mkatabaMkataba unasema sheria ya kuuuvunja inatakiwa mchezaji alipe pesa ya mkataba ambayo ni 100M pamoja na mshahara wake wa miezi mitatu
Sasa Feisal inasemekana tayari katoa 112M
Piga mwenyewe hesabu hiyo 12M imekujaje hapo wakati contract ilikuwa ni 100M
Chukua 4x3 afu jibu baki nalo
Maana yake jamaa alikuwa analipwa 4m..na hapo bado kodi.Mkataba unasema sheria ya kuuuvunja inatakiwa mchezaji alipe pesa ya mkataba ambayo ni 100M pamoja na mshahara wake wa miezi mitatu
Sasa Feisal inasemekana tayari katoa 112M
Piga mwenyewe hesabu hiyo 12M imekujaje hapo wakati contract ilikuwa ni 100M
Chukua 4x3 afu jibu baki nalo
Nitafanyia kazi ushauri wako topoloMbona wewe una macho mazuri zaidi yake rembua tu na wewe usijibane
Umekazania attachment kama ndio kitu pekee ambacho unakiamini wakati kama umejipanga kupinga unaweza ukawekewa na bado ukabisha tuWeka attachment hapa tuone huo mkataba
Hizi Club zina thamini sana wachezaji wa nje kuliko wazawaMaana yake jamaa alikuwa analipwa 4m..na hapo bado kodi.
Yanga tumezingua big time
Ya nini ni urge wakati umeweka evidence hadharani? weka hata fake copy nitakubaliUmekazania attachment kama ndio kitu pekee ambacho unakiamini wakati kama umejipanga kupinga unaweza ukawekewa na bado ukabisha tu
Feisal amekua bora baada ya kutakiwa na Azam,? si hua mnasena hakuna mchezaji hapo mkaanzisha uzi wa Mayele Vs Kibu DenisHizi Club zina thamini sana wachezaji wa nje kuliko wazawa
Sometimes unaweza ukaona kabisa kuna mchezaji wa ndani anacheza vizuri kuliko foreigner ila akawa analipwa mshahara mdogo kuliko foreigner
We fikiria tu kama Feisal kwa ubora wake analipwa 4M, Denis Nkane na Mwanyeto watakuwa wanalipwa bei gani?
Sometimes tunahitaji hata hizi chokochoko za Club nyingine kuonesha nia ya kumtaka mchezaji ili Club inayommiliki huyo mchezaji imuongezee value mchezaji kuhofia kupolwa na Club nyingine
Hata wachezaji wenyewe hawana negotiations power. Si juzi tu Mkataba wa Feisal umeisha sasa kwanini ionekane wa nje wanalipwa zaidi. Nimewahi kufanya kazi kwenye mazingira kama hayo ambapo walio negotiate vizuri walipata maslah mazuri. Baada ya kugundua nilijilaumu mie mwenyewe na after 6 months nikapata sehemu nyingine ambapo hapo sikufanya makosa.Hizi Club zina thamini sana wachezaji wa nje kuliko wazawa
Sometimes unaweza ukaona kabisa kuna mchezaji wa ndani anacheza vizuri kuliko foreigner ila akawa analipwa mshahara mdogo kuliko foreigner
We fikiria tu kama Feisal kwa ubora wake analipwa 4M, Denis Nkane na Mwanyeto watakuwa wanalipwa bei gani?
Sometimes tunahitaji hata hizi chokochoko za Club nyingine kuonesha nia ya kumtaka mchezaji ili Club inayommiliki huyo mchezaji imuongezee value mchezaji kuhofia kupolwa na Club nyingine
Na kwanini nifanye hayo yote wakati umetanguliza denial from the begin?Ya nini ni urge wakati umeweka evidence hadharani? weka hata fake copy nitakubali
Negotiation power anaweza akawa nayo ila kuna muda haiwezi kuwa na nguvu kama hana backup inayo msapoti endapo wasipofika makubalianoHata wachezaji wenyewe hawana negotiations power. Si juzi tu Mkataba wa Feisal umeisha sasa kwanini ionekane wa nje wanalipwa zaidi. Nimewahi kufanya kazi kwenye mazingira kama hayo ambapo walio negotiate vizuri walipata maslah mazuri. Baada ya kugundua nilijilaumu mie mwenyewe na after 6 months nikapata sehemu nyingine ambapo hapo sikufanya makosa.
Bora kulinganisha na nani?Feisal amekua bora baada ya kutakiwa na Azam,? si hua mnasena hakuna mchezaji hapo mkaanzisha uzi wa Mayele Vs Kibu Denis
Angalia maisha yako sio unazi. Haiwezekani kuna wachezaji wanatoka nje wanalipwa vizuri halafu wanakaa bench. Wewe unajituma unapewa pesa ya mboga. Sepa dogo
Naona sawa tu, acha mtoto wa watu avune pesa. Ila kimpira atakuwa kama Bocco tu, alivyokuwa Azam. Kiwango kitashuka, akimaliza huo mkataba ataenda kwa mikia ama kurudi tena Yanga shuguli itakuwa ishaisha tena... niko hapa nasubiria X mas [emoji268]
Umeshindwa kuleta ushahidi umebaki kupiga mboyoyoNa kwanini nifanye hayo yote wakati umetanguliza denial from the begin?
Hata mboyoyo nao ni ushahidi, ishu ni wewe kujipanga kubisha ndio imetufikisha hapaUmeshindwa kuleta ushahidi umebaki kupiga mboyoyo