Fei Toto to Azam deal done? Shaffih Dauda kaandika RASMI dili limekamilika

Mkataba unasema sheria ya kuuuvunja inatakiwa mchezaji alipe pesa ya mkataba ambayo ni 100M pamoja na mshahara wake wa miezi mitatu

Sasa Feisal inasemekana tayari katoa 112M

Piga mwenyewe hesabu hiyo 12M imekujaje hapo wakati contract ilikuwa ni 100M

Chukua 4x3 afu jibu baki nalo
Weka attachment hapa tuone huo mkataba
 
Mkataba unasema sheria ya kuuuvunja inatakiwa mchezaji alipe pesa ya mkataba ambayo ni 100M pamoja na mshahara wake wa miezi mitatu

Sasa Feisal inasemekana tayari katoa 112M

Piga mwenyewe hesabu hiyo 12M imekujaje hapo wakati contract ilikuwa ni 100M

Chukua 4x3 afu jibu baki nalo
Maana yake jamaa alikuwa analipwa 4m..na hapo bado kodi.

Yanga tumezingua big time
 
Hizi Club zina thamini sana wachezaji wa nje kuliko wazawa

Sometimes unaweza ukaona kabisa kuna mchezaji wa ndani anacheza vizuri kuliko foreigner ila akawa analipwa mshahara mdogo kuliko foreigner

We fikiria tu kama Feisal kwa ubora wake analipwa 4M, Denis Nkane na Mwanyeto watakuwa wanalipwa bei gani?

Sometimes tunahitaji hata hizi chokochoko za Club nyingine kuonesha nia ya kumtaka mchezaji ili Club inayommiliki huyo mchezaji imuongezee value mchezaji kuhofia kupolwa na Club nyingine
 
Umekazania attachment kama ndio kitu pekee ambacho unakiamini wakati kama umejipanga kupinga unaweza ukawekewa na bado ukabisha tu
Ya nini ni urge wakati umeweka evidence hadharani? weka hata fake copy nitakubali
 
Hizi Club zina thamini sana wachezaji wa nje kuliko wazawa

Sometimes unaweza ukaona kabisa kuna mchezaji wa ndani anacheza vizuri kuliko foreigner ila akawa analipwa mshahara mdogo kuliko foreigner

We fikiria tu kama Feisal kwa ubora wake analipwa 4M, Denis Nkane na Mwanyeto watakuwa wanalipwa bei gani?

Sometimes tunahitaji hata hizi chokochoko za Club nyingine kuonesha nia ya kumtaka mchezaji ili Club inayommiliki huyo mchezaji imuongezee value mchezaji kuhofia kupolwa na Club nyingine
Feisal amekua bora baada ya kutakiwa na Azam,? si hua mnasena hakuna mchezaji hapo mkaanzisha uzi wa Mayele Vs Kibu Denis
 
Hata wachezaji wenyewe hawana negotiations power. Si juzi tu Mkataba wa Feisal umeisha sasa kwanini ionekane wa nje wanalipwa zaidi. Nimewahi kufanya kazi kwenye mazingira kama hayo ambapo walio negotiate vizuri walipata maslah mazuri. Baada ya kugundua nilijilaumu mie mwenyewe na after 6 months nikapata sehemu nyingine ambapo hapo sikufanya makosa.
 
Negotiation power anaweza akawa nayo ila kuna muda haiwezi kuwa na nguvu kama hana backup inayo msapoti endapo wasipofika makubaliano

Mfano akasema wamlipe milion 10 na kabla alikuww analipwa milion 5, halafu akasimama kwenye msimamo wake huo huo

Then Yanga wakasema hatuwezi kukuoa kiasi hicho na tupo tayari kuachana na wewe

Sasa je akitoka hapo huyo Feisal anaweza akachululiwa na Club gani ambayo itamlipa hiyo pesa?

Saizi amekuwa gumzo kwasababu tayari Azam wameonesha nia ya kutoa pesa hiyo na dau la mshahara wake limeonekana. Lakini isingekuwa Azam maana yake huyo alikuwa hana option ya kukataa 4M kwasbabu hana pakwenda
 
Feisal amekua bora baada ya kutakiwa na Azam,? si hua mnasena hakuna mchezaji hapo mkaanzisha uzi wa Mayele Vs Kibu Denis
Bora kulinganisha na nani?

Sisi tumekuwa tukisema Feisal sio bora ukimlinganisha na Chama kama ambavyo nyinyi mmekuwa mkitaka.

Ni kweli Feisal hana ubora kumzidi Chama, ila kwa pale Yanga, Feisal ni bora kuliko Azizi Ki (ambaye nahakika atakuwa anachukua pesa ndefu kumzidi hata Mayele)

Ishu ya Mayele na Kibu ilikuwa inazungumzia statistics za kipindi hicho na ni kweli Kibu alikuwa bora kuliko Mayele but now he's broke
 
Sio kweli. JOHN BOCCO ana magoli lukuki akiwa na Azam Fc kuliko aliyofunga pengine lokote
Naona sawa tu, acha mtoto wa watu avune pesa. Ila kimpira atakuwa kama Bocco tu, alivyokuwa Azam. Kiwango kitashuka, akimaliza huo mkataba ataenda kwa mikia ama kurudi tena Yanga shuguli itakuwa ishaisha tena... niko hapa nasubiria X mas [emoji268]
 
Back
Top Bottom