Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Yanga na sheria wapi na wapi?
Kwani hajui mwenzake Gadiel Michael anavyobebeshwa hirizi huko Simba?Kama Yanga umewalipa chao na wamekomaa hawataki uondoke, nakushauri Azam hawataweza kupambana na Yanga, watanywea, tangaza unakwenda Simba kesho asubuhi, utaona mwenyewe, nakuhakikisha gemu na KMC utacheza pale juu na Chama, Ntibazonkiza,Sakho nk.
Simba michezo hiyo wanaijua sana, michezo hiyo kule Simba ni ya kitoto kabisa, utacheza na wao watabakia kulaumu tu, wakiendelea kulia lia wanakula faini wewe maisha yanaendelea, kacheze Simba dogo kwa masharti hayo hayo ya Azam, safi sana.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Wapuuzi hawajajifunza kitu kwa ishu ya Morrison.Yanga huwa wanapigwa kama ngoma kwenye kesi za mikataba ya wachezaji.
Wamekasirishwa sanaYanga na sheria wapi na wapi?
Ukishaona mpaka mchezaji amerudishiwa pesa zake lakini bado hajabadilisha msimamo wake ujue kuna sehemu kaona kuna madhaifu
Hata kwa yule dogo wa Coastal Union Abdul Sopu walimfagila hivi hivi! Leo hii pale Azam anaanzia benchi! Imagine mchezaji aliyekuwa moto kweli kweli alipokuwa Coastal Union!Huu sasa ndio muda wa Makolo kumpa sifa zake Feisal, sifa ambazo walitakiwa kuzitoa mapema ila vijiba vya roho vikawabana!
Shida yako ni nini? Mtu aache kupiga hela sababu ya mapenzi na timu yako?Hata kwa yule dogo wa Coastal Union Abdul Sopu walimfagila hivi hivi! Leo hii pale Azam anaanzia benchi! Imagine mchezaji aliyekuwa moto kweli kweli alipokuwa Coastal Union!
Alichobahatika kuambulia, ni hela tu za usajili, kama hizi anazo danganyiwa Fei Toto!!
Kuna sehemu nimekuambia nina shida yoyote ile? Mimi natoa tahadhari kwa wachezaji. Hivyo kuwa tu mpole.Shida yako ni nini? Mtu aache kupiga hela sababu ya mapenzi na timu yako?
Hayo makombe klabu zinachukua hayana msaada Kwa mchezaji kama mshahara wake ni kiduchu.Hata kwa yule dogo wa Coastal Union Abdul Sopu walimfagila hivi hivi! Leo hii pale Azam anaanzia benchi! Imagine mchezaji aliyekuwa moto kweli kweli alipokuwa Coastal Union!
Alichobahatika kuambulia, ni hela tu za usajili, kama hizi anazo danganyiwa Fei Toto!!
Hata kwa yule dogo wa Coastal Union Abdul Sopu walimfagila hivi hivi! Leo hii pale Azam anaanzia benchi! Imagine mchezaji aliyekuwa moto kweli kweli alipokuwa Coastal Union!
Alichobahatika kuambulia, ni hela tu za usajili, kama hizi anazo danganyiwa Fei Toto!!
Hapo hakuna Wakili.Yanga huwa wanapigwa kama ngoma kwenye kesi za mikataba ya wachezaji.
Wanatujua baadae unaezasikia katimkia simba watatafutana uchawi haoAZAM MUOGA SANA.
Tungekuwa sisi wazee wa Lunyasiii dk hii ameshavaa uzi mwekundu na mambo yote yanajibiwa na wanasheria wa Simbaa