Fei Toto, wakikuudhi kabisa na kukubania nenda kasaini Simba ili iwaume kabisa, huko kuna mafia utacheza kesho asubuhi

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Kama Yanga umewalipa chao na wamekomaa hawataki uondoke, nakushauri Azam hawataweza kupambana na Yanga, watanywea, tangaza unakwenda Simba kesho asubuhi, utaona mwenyewe, nakuhakikisha gemu na KMC utacheza pale juu na Chama, Ntibazonkiza,Sakho nk.

Simba michezo hiyo wanaijua sana, michezo hiyo kule Simba ni ya kitoto kabisa, utacheza na wao watabakia kulaumu tu, wakiendelea kulia lia wanakula faini wewe maisha yanaendelea, kacheze Simba dogo kwa masharti hayo hayo ya Azam, safi sana.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Kwani hajui mwenzake Gadiel Michael anavyobebeshwa hirizi huko Simba?
 
Huu sasa ndio muda wa Makolo kumpa sifa zake Feisal, sifa ambazo walitakiwa kuzitoa mapema ila vijiba vya roho vikawabana!
Hata kwa yule dogo wa Coastal Union Abdul Sopu walimfagila hivi hivi! Leo hii pale Azam anaanzia benchi! Imagine mchezaji aliyekuwa moto kweli kweli alipokuwa Coastal Union!

Alichobahatika kuambulia, ni hela tu za usajili, kama hizi anazo danganyiwa Fei Toto!!
 
Shida yako ni nini? Mtu aache kupiga hela sababu ya mapenzi na timu yako?
 
Hata kwa yule dogo wa Coastal Union Abdul Sopu walimfagila hivi hivi! Leo hii pale Azam anaanzia benchi! Imagine mchezaji aliyekuwa moto kweli kweli alipokuwa Coastal Union!

Alichobahatika kuambulia, ni hela tu za usajili, kama hizi anazo danganyiwa Fei Toto!!
Hayo makombe klabu zinachukua hayana msaada Kwa mchezaji kama mshahara wake ni kiduchu.
 
Hiyo ni roho ya kinaskini!
Kwani Yanga hakuna wachezaji wanaokaa Bench? Dunia nzima, kila Timu ina wachezaji wa Bench. Timu inasajili wachezaji 30 na wa kucheza ni 11 tu!
Hata kwa yule dogo wa Coastal Union Abdul Sopu walimfagila hivi hivi! Leo hii pale Azam anaanzia benchi! Imagine mchezaji aliyekuwa moto kweli kweli alipokuwa Coastal Union!

Alichobahatika kuambulia, ni hela tu za usajili, kama hizi anazo danganyiwa Fei Toto!!
 
AZAM MUOGA SANA.

Tungekuwa sisi wazee wa Lunyasiii dk hii ameshavaa uzi mwekundu na mambo yote yanajibiwa na wanasheria wa Simbaa
 
Back
Top Bottom