Gwele
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 2,604
- 3,319
Nyie mbona mmemsajili Ambundo toka Dodoma Jiji na anakaa benchi kwahiyo unataka nae ajutie kwanini alikubali kusajiliwa Yanga?Hata kwa yule dogo wa Coastal Union Abdul Sopu walimfagila hivi hivi! Leo hii pale Azam anaanzia benchi! Imagine mchezaji aliyekuwa moto kweli kweli alipokuwa Coastal Union!
Alichobahatika kuambulia, ni hela tu za usajili, kama hizi anazo danganyiwa Fei Toto!!
Mbona mnakuwa na nongwa wanazi wa Yanga mnamchukulia mchezaji kama shabiki mwenzenu kwamba hawezi kuhama?