Fei Toto, wakikuudhi kabisa na kukubania nenda kasaini Simba ili iwaume kabisa, huko kuna mafia utacheza kesho asubuhi

Hata kwa yule dogo wa Coastal Union Abdul Sopu walimfagila hivi hivi! Leo hii pale Azam anaanzia benchi! Imagine mchezaji aliyekuwa moto kweli kweli alipokuwa Coastal Union!

Alichobahatika kuambulia, ni hela tu za usajili, kama hizi anazo danganyiwa Fei Toto!!
Nyie mbona mmemsajili Ambundo toka Dodoma Jiji na anakaa benchi kwahiyo unataka nae ajutie kwanini alikubali kusajiliwa Yanga?
Mbona mnakuwa na nongwa wanazi wa Yanga mnamchukulia mchezaji kama shabiki mwenzenu kwamba hawezi kuhama?
 
Mtamaliza misemo yote lakini Feisal ni mali ya Azam FC.
 
Nyie mbona mmemsajili Ambundo toka Dodoma Jiji na anakaa benchi kwahiyo unataka nae ajutie kwanini alikubali kusajiliwa Yanga?
Mbona mnakuwa na nongwa wanazi wa Yanga mnamchukulia mchezaji kama shabiki mwenzenu kwamba hawezi kuhama?
Hivi Abdul Sopu ni wa kumlinganisha na Ambundo, au Fei Toto kweli!!
 
Sopu na Ambundo kwa sasa wote wapo sawa tu kwenye vilabu vyao wote wanasugua benchi na sidhani kama katika hao kuna anayejutia kuja alipo
 
Hata kwa yule dogo wa Coastal Union Abdul Sopu walimfagila hivi hivi! Leo hii pale Azam anaanzia benchi! Imagine mchezaji aliyekuwa moto kweli kweli alipokuwa Coastal Union!

Alichobahatika kuambulia, ni hela tu za usajili, kama hizi anazo danganyiwa Fei Toto!!
Naomba ukumbuke kuifuta hii POST.. SOPU Unajua nini kafanya Kwa YANGA.. Kawakojolea Bao mbili nzito zenye harufu kalii
 
Simba ingekuwa na mamafia mngekuwa na basi na mwekezaji angeonyesha 20 billion zikwapi. Nje ya hapo nyie simba na gwambina fc hamna tafauti
 
Kweli kabisa hili picha lingekuwa la Lunyasi mapema dogo angekipiga leo huu umafia Simba wanauweza sana.
 
Vip unataka unipe eneo la Kukojolea nikumwagie KOJO?
Naona unatafuta wanaume kwa nguvu. Kwa nini usiende kumwagia baba yako mzazi?

Ukija kwangu nitaishia tu kukunyonya mavi. Na hii ndiyo tabia yangu kwa mbuzi kama nyinyi! Je, uko tayari?
 
Nyie mbona mmemsajili Ambundo toka Dodoma Jiji na anakaa benchi kwahiyo unataka nae ajutie kwanini alikubali kusajiliwa Yanga?
Mbona mnakuwa na nongwa wanazi wa Yanga mnamchukulia mchezaji kama shabiki mwenzenu kwamba hawezi kuhama?
List ni ndefu

Athuman kutoka biashara
Ngushi kutoka mbeya kwanza
Mauya kutoka kagera
Makambo kutoka horoya

Wote hawa wanakaa mkeka
 
Hata kwa yule dogo wa Coastal Union Abdul Sopu walimfagila hivi hivi! Leo hii pale Azam anaanzia benchi! Imagine mchezaji aliyekuwa moto kweli kweli alipokuwa Coastal Union!

Alichobahatika kuambulia, ni hela tu za usajili, kama hizi anazo danganyiwa Fei Toto!!
Umemuona Abul Sopu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amewatoboa huko,acha nongwa,
 
Amebahatisha tu. Na mwisho wa siku wananchi wameendeleza ubabe! Na hivyo hayo magoli yake mawili ni kazi bure.
 
Back
Top Bottom