Nyie mbona mmemsajili Ambundo toka Dodoma Jiji na anakaa benchi kwahiyo unataka nae ajutie kwanini alikubali kusajiliwa Yanga?Hata kwa yule dogo wa Coastal Union Abdul Sopu walimfagila hivi hivi! Leo hii pale Azam anaanzia benchi! Imagine mchezaji aliyekuwa moto kweli kweli alipokuwa Coastal Union!
Alichobahatika kuambulia, ni hela tu za usajili, kama hizi anazo danganyiwa Fei Toto!!
Mtamaliza misemo yote lakini Feisal ni mali ya Azam FC.Hata kwa yule dogo wa Coastal Union Abdul Sopu walimfagila hivi hivi! Leo hii pale Azam anaanzia benchi! Imagine mchezaji aliyekuwa moto kweli kweli alipokuwa Coastal Union!
Alichobahatika kuambulia, ni hela tu za usajili, kama hizi anazo danganyiwa Fei Toto!!
Watamtumia Wakili Msomi Bernard Morrison yule aliyewalisha shubiri kule CASHapo hakuna Wakili.
Hivi Abdul Sopu ni wa kumlinganisha na Ambundo, au Fei Toto kweli!!Nyie mbona mmemsajili Ambundo toka Dodoma Jiji na anakaa benchi kwahiyo unataka nae ajutie kwanini alikubali kusajiliwa Yanga?
Mbona mnakuwa na nongwa wanazi wa Yanga mnamchukulia mchezaji kama shabiki mwenzenu kwamba hawezi kuhama?
Sopu na Ambundo kwa sasa wote wapo sawa tu kwenye vilabu vyao wote wanasugua benchi na sidhani kama katika hao kuna anayejutia kuja alipoHivi Abdul Sopu ni wa kumlinganisha na Ambundo, au Fei Toto kweli!!
Ahahahahah! Huyo sawa. Atawasaidia san! Ahahahahah!!Watamtumia Wakili Msomi Bernard Morrison yule aliyewalisha shubiri kule CAS
Naomba ukumbuke kuifuta hii POST.. SOPU Unajua nini kafanya Kwa YANGA.. Kawakojolea Bao mbili nzito zenye harufu kaliiHata kwa yule dogo wa Coastal Union Abdul Sopu walimfagila hivi hivi! Leo hii pale Azam anaanzia benchi! Imagine mchezaji aliyekuwa moto kweli kweli alipokuwa Coastal Union!
Alichobahatika kuambulia, ni hela tu za usajili, kama hizi anazo danganyiwa Fei Toto!!
Ndugu wakili msomiYanga na sheria wapi na wapi?
Ukishaona mpaka mchezaji amerudishiwa pesa zake lakini bado hajabadilisha msimamo wake ujue kuna sehemu kaona kuna madhaifu
Mikia wana wapiga domo sio mafia.Simba ingekuwa na mamafia mngekuwa na basi na mwekezaji angeonyesha 20 billion zikwapi. Nje ya hapo nyie simba na gwambina fc hamna tafauti
Yanga wao pesa zao zipo bank gani?Simba ingekuwa na mamafia mngekuwa na basi na mwekezaji angeonyesha 20 billion zikwapi. Nje ya hapo nyie simba na gwambina fc hamna tafauti
Wana kibubu. Kichungu mweka hazina ni Mayelle.Yanga wao pesa zao zipo bank gani?
Kabisa. Midomo inawaponza. Wamechoongaa kuhusu Feisal, baada ya game na Azam wamepotea online, wana ushabiki maandazi sana hawa mikiaMikia wana wapiga domo sio mafia.
Vip unataka unipe eneo la Kukojolea nikumwagie KOJO?Weka na matokeo ya mwisho sasa ya huo mchezo! Siyo unafoka foka tu. Watoto wa siku hizi mnawaza kukojoa tu. Pumbavu.
Naona unatafuta wanaume kwa nguvu. Kwa nini usiende kumwagia baba yako mzazi?Vip unataka unipe eneo la Kukojolea nikumwagie KOJO?
List ni ndefuNyie mbona mmemsajili Ambundo toka Dodoma Jiji na anakaa benchi kwahiyo unataka nae ajutie kwanini alikubali kusajiliwa Yanga?
Mbona mnakuwa na nongwa wanazi wa Yanga mnamchukulia mchezaji kama shabiki mwenzenu kwamba hawezi kuhama?
Umemuona Abul Sopu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amewatoboa huko,acha nongwa,Hata kwa yule dogo wa Coastal Union Abdul Sopu walimfagila hivi hivi! Leo hii pale Azam anaanzia benchi! Imagine mchezaji aliyekuwa moto kweli kweli alipokuwa Coastal Union!
Alichobahatika kuambulia, ni hela tu za usajili, kama hizi anazo danganyiwa Fei Toto!!
Amebahatisha tu. Na mwisho wa siku wananchi wameendeleza ubabe! Na hivyo hayo magoli yake mawili ni kazi bure.Umemuona Abul Sopu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amewatoboa huko,acha nongwa,