magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Jana kwa walioangalia mpira kuna muda Khalid Aucho alifanyiwa madhambi ya makusudi kabisa na mchezaji wa Azam sijui nani yule. Kipindi hicho tayari ana kadi ya njano na alitaka kuinuka kwa gadhabu sana ili akamvae yule jamaa lakini Feisal akamuwahi kumzuia.
Mind you kama Feisal angemuacha ina maana Aucho angepata second yellow na ingekuwa bonge la advantage kwa Azam kucheza na timu yenye wachezaji tisa. Lakini alisacrifice yote hayo for the love of football au tuseme ni marafiki, who knows.
Nimpe hongera kwa hilo.