Feisal Apewe tuzo Ya Fair Play Kwa Kitendo Alichofanya Jana kwenye mchezo kati ya Yanga VS Azam

magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
11,075
Reaction score
24,634
Jana kwa walioangalia mpira kuna muda Khalid Aucho alifanyiwa madhambi ya makusudi kabisa na mchezaji wa Azam sijui nani yule. Kipindi hicho tayari ana kadi ya njano na alitaka kuinuka kwa gadhabu sana ili akamvae yule jamaa lakini Feisal akamuwahi kumzuia.

Mind you kama Feisal angemuacha ina maana Aucho angepata second yellow na ingekuwa bonge la advantage kwa Azam kucheza na timu yenye wachezaji tisa. Lakini alisacrifice yote hayo for the love of football au tuseme ni marafiki, who knows.

Nimpe hongera kwa hilo.
 
Feisal huyu huyu aliokua anawabembeleza wachezaji wa kitayose(tabora UTD) waendelee kucheza wakiwa wachezaji saba sijui, tena hapo ni baada ya yeye kupiga hatrick ndani ya dakika 16 tu???

Jamaa alitaka msimu uliopita achukue kiatu kabisa kwenye mechi Hio Hio moja
 
Ni ngumu sana Mtanzania kustick kwenye mada husika.
 
Jana kwa walioangalia mpira kuna muda Khalid Aucho alifanyiwa madhambi ya makusudi kabisa na mchezaji wa Azam sijui nani yule. Kipindi hicho tayari ana kadi ya njano na alitaka kuinuka kwa gadhabu sana ili akamvae yule jamaa lakini Feisal akamuwahi kumzuia.

Mind you kama Feisal angemuacha ina maana Aucho angepata second yellow na ingekuwa bonge la advantage kwa Azam kucheza na timu yenye wachezaji tisa. Lakini alisacrifice yote hayo for the love of football au tuseme ni marafiki, who knows.

Nimpe hongera kwa hilo.
ni kweli kabisa
 
Angemuacha tu, huenda angeenda kupigwa. Anahamaki nini wakati nayeye huwa ananyunda wenzie!.
 
Sikufuatilia hiyo mechi.
Tatizo Feisal hakutunengulia mauno kama yale ya kipindi kile tungepata nyege za kuwapakia mkongo
 
Angecheza fair pia na uongozi wa Yanga kipindi hiko
Screenshot_20241104-095854_Facebook.jpg
 
Jana kwa walioangalia mpira kuna muda Khalid Aucho alifanyiwa madhambi ya makusudi kabisa na mchezaji wa Azam sijui nani yule. Kipindi hicho tayari ana kadi ya njano na alitaka kuinuka kwa gadhabu sana ili akamvae yule jamaa lakini Feisal akamuwahi kumzuia.

Mind you kama Feisal angemuacha ina maana Aucho angepata second yellow na ingekuwa bonge la advantage kwa Azam kucheza na timu yenye wachezaji tisa. Lakini alisacrifice yote hayo for the love of football au tuseme ni marafiki, who knows.

Nimpe hongera kwa hilo.
Kila mtu ni kichaa ukitaka kujua kama binadamu ni kichaa subiri akikasirika kama vile
 
Back
Top Bottom