Ni ngumu sana Mtanzania kustick kwenye mada husika.Feisal huyu huyu aliokua anawabembeleza wachezaji wa kitayose(tabora UTD) waendelee kucheza wakiwa wachezaji saba sijui, tena hapo ni baada ya yeye kupiga hatrick ndani ya dakika 16 tu???
Jamaa alitaka msimu uliopita achukue kiatu kabisa kwenye mechi Hio Hio moja
😆😆Ni ngumu sana Mtanzania kustick kwenye mada husika.
ni kweli kabisaJana kwa walioangalia mpira kuna muda Khalid Aucho alifanyiwa madhambi ya makusudi kabisa na mchezaji wa Azam sijui nani yule. Kipindi hicho tayari ana kadi ya njano na alitaka kuinuka kwa gadhabu sana ili akamvae yule jamaa lakini Feisal akamuwahi kumzuia.
Mind you kama Feisal angemuacha ina maana Aucho angepata second yellow na ingekuwa bonge la advantage kwa Azam kucheza na timu yenye wachezaji tisa. Lakini alisacrifice yote hayo for the love of football au tuseme ni marafiki, who knows.
Nimpe hongera kwa hilo.
Angecheza fair pia na uongozi wa Yanga kipindi hiko
Astaghfirullah.Sikufuatilia hiyo mechi.
Tatizo Feisal hakutunengulia mauno kama yale ya kipindi kile tungepata nyege za kuwapakia mkongo
Si unakumbuka mechi ile ya zanzibar alivyotukatia mauno tukawatupia 4Astaghfirullah.
Mkuu, huko sipo kabisa mie.Si unakumbuka mechi ile ya zanzibar alivyotukatia mauno tukawatupia 4
Ahahha najua .we tulia hapo msimbaziMkuu, huko sipo kabisa mie.
Kila mtu ni kichaa ukitaka kujua kama binadamu ni kichaa subiri akikasirika kama vileJana kwa walioangalia mpira kuna muda Khalid Aucho alifanyiwa madhambi ya makusudi kabisa na mchezaji wa Azam sijui nani yule. Kipindi hicho tayari ana kadi ya njano na alitaka kuinuka kwa gadhabu sana ili akamvae yule jamaa lakini Feisal akamuwahi kumzuia.
Mind you kama Feisal angemuacha ina maana Aucho angepata second yellow na ingekuwa bonge la advantage kwa Azam kucheza na timu yenye wachezaji tisa. Lakini alisacrifice yote hayo for the love of football au tuseme ni marafiki, who knows.
Nimpe hongera kwa hilo.
Daaaaaaah! Mkuu umenikumbusha mbali sana, miaka ileeee, utotoni kule Mbeya mjini, tulikuwa tunatumia sana neno hilo la "KUNYUNDA", tukimaanisha KUKANYAGA!Angemuacha tu, huenda angeenda kupigwa. Anahamaki nini wakati nayeye huwa ananyunda wenzie!.